Daily Archives: March 9, 2018

Mwanafunzi wa UDSM ‘aliyetoweka’ Awekwa Chini ya Polisi Ili Kubaini Ukweli

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TSNP) na mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Abdul Nondo ambaye alikuwa ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha, usiku wa kuamkia jana aliripotiwa kupatikana mkoani Iringa. Kamanda wa Polisi mkoani Iringa, Juma Bwire amethibitisha kupatikana kwa Nondo. Nondo alikwenda kituo cha polisi Mafinga baadaye kudaiwa kuzinduka kutoka usingizi akiwa hajui alipo, ...

Read More »

Rais Mstaafu JK akifinya Ugali msibani

  Pita pita yangu nikajikuta nimetokea kwenye page ya twitter ya Rais wetu Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiandika post na kuweka picha za yeye na wazee wakila ugali kwenye sahani moja na bakuli moja la mboga. Mimi binafsi post yake nimeipenda kwani inaonesha huyu mheshimiwa ni mtu wa watu maana kuona Mtu aliyewahi kuwa rais kula chakula ...

Read More »

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA MKOANI TABORA

Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete akimpongeza Mbunge wa Vitimaalum mkoa wa Tabora Munde Tambwe baada ya kupokea kiasi cha shilingi milioni moja kwaajili ya TIKA huku Mbunge huyo Munde Tambwe akiahidi mbele Mama Salma Kikwete kuchangia jumla ya mifuko Miambili ya Saruji kwa ajili ya Ujenzi wa Mabweni katika Shule za Sekondari za kata manispaa ya Tabora na ...

Read More »

Mfalme wa Mchezo wa Tennis abeza mfumo wa seti tano kwa wachezaji

Mfalme wa zamani wa mchezo wa Tenisi mwanamke Billie Jean King amependekeza kuwa mfumo wa kucheza seti tano kwa wanaume michuano ya Gland slam usitumike katika mchezo wa mwisho. Mchezaji huyo wa zamani ambaye alishinda mataji 12 ya Gland yakiwemo sita ya Wimbledon, amesema mfumo huo kwa upande wa wanaume umekuwa ukichukua muda mwingi kucheza , amependekeza kuwa mfumo huo ...

Read More »

Tillerson aahidi kuendeleza uhusiano wa Marekani – Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson ameahidi kwa mara nyingine mshikamano wa Marekani na nchi za Afrika, katika juhudi za kufuta kauli ya utata iliotolewa na Rais Donald Trump ikilikashifu bara hilo. Mkutano wa mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani alioufanya na Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Moussa Faki umekuja miezi miwili baada ya ...

Read More »

Waziri akanusha ripoti kuwa Kenya haina fedha

Waziri wa Fedha Kenya Henry Rotich amesema Alhamisi kuwa ripoti zinazodai kuwa serikali ya nchi hiyo haina fedha ni “habari feki” na kuwa serikali kawaida haziwezi kukosa fedha. Ameongeza kuwa shilingi bilioni 200 zilizotolewa hivi karibuni na Eurobond zitaweza kukidhi mahitaji ya taifa hilo. Amesema ripoti hizo zinamakosa kwa kusema serikali haina fedha, limeripoti gazeti la The Daily Nation nchini ...

Read More »

Matokeo ya Mechi Zote za Europa Leage Hatua ya 16 Bora Haya Hapa

Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa March 8 2018 kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya, hizi ni game za kwanza ambazo zimechezwa leo baada ya game za marudiano ndio tutajua timu gani zimeingia robo fainali. Inawezekana ulikuwa mbali na TV na hukupata fursa ya kutazama game zenyewe, naomba nikusogezee matokeo ya game zote ...

Read More »

Wakurugenzi wasiotenga fedha za mikopo kwa wanawake kufikia June kutumbuliwa.

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mh. Ummy Mwalimu ametoa miezi mitatu kwa wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanatenga asilimia 4 za fedha za halmashauri kwaajili ya kuwapa wanawake mikopo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuunga mkono juhudi za serikali katika uchumi wa viwanda. Amesema kuwa serikali haitasita kuwawajibisha wakurugenzi watakaokiuka maelekezo ya serikali yanayolenga kutekeleza ...

Read More »

ARSENAL YAITANDIKA AC MILAN 2-0 UGENINI

Arsenal jana usiku imeifunga Ac Millan  mabao 2-0 kwenye mashindano ya kombe la Euopa Leaue hatua ya 16 bora ugenini kwenye Uwanja wa Giuseppe Meazza Mjini Milani. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan kwenye dakika ya 15 na bao la pili lilifungwa na Aaron Ramsey dakika ya 45. Kwa matokeo hayo Arsenal imejiweka kwenye hatua nzuri ya kusonga mbele ...

Read More »

Trump akubali Kukutana na Kim Jong

Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia kuwa kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu wa Korea kaskazini. Hata hivyo mahala watakapokutana viongozi panasalia kuwa siri kwa sasa,na pia Marekani imesisitiza kuwa pamoja na kukubali ...

Read More »

HDIF YAWAWEZESHA WANAWAKE TANZANIA KATIKA NYANJA YA UBUNIFU

 Naibu Kiongozi  Mfuko wa  ubunifu wa Maendeleo ya watu kutoka nchini Uingereza (HDIF), Joseph Manirakiza akizungumza juu ya  kongamano hilo ili kutoa fursa kwa watu kujifunza namna wanawake wamefanikiwa katika masuala ya ubunifu na kuleta maendeleo katika jamii inayoiwazunguka.  Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia elimu msingi, Dk Avemaria Semakafu  akizungumza katika kongamano la Siku ya Wanawake ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons