Daily Archives: March 10, 2018

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AHAMISHIA OPERESHENI YA KUWABAINI WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA KAZI MKOANI MOROGORO

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku Alliance One Mkoani Morogopro leo Machi 9, 2018. Mhe. Mavunde ameagiza waajiri 242 Mkoani Morogoro ambao hawajajisajili na Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF) kufikishwa mahakamani mara moja. OPERESHENI ya nchi nzima kuwabaini waajiri ambao hawatekelezi sheria ya ajira ...

Read More »

Tillerson awapongeza Kenyatta, Raila

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson Ijumaa alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Monica Juma. Tillerson alipongeza hatua ya rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ya kukutana na kufanya mazungumzo, miezi kadhaa baada ya uchaguzi wa urais kusababisha machafuko wakati upinzani ukidai kulikuwapo udanganyifu katika uchaguzi huo. Rais Uhuru ...

Read More »

WAUZA FIGO WAPIGWA MARUFUKU

CHAMA cha Madaktari Bingwa wa magonjwa ya figo Tanzania kimepiga marufuku biashara  ya uuzaji figo nchini na kueleza kuwa huo si utaratibu mzuri kwa madhara yake ni makubwa. Pia kimeelezea hali ya ugonjwa wa figo nchini na kwamba kwa mwaka huu wanatarajia kupandikiza figo kwa wagonjwa 50 huku kikielezea jitihada za Serikali katika kuhamasisha wananchi kuzuia ugonjwa figo. Hayo yamesemwa ...

Read More »

Magufuli Awanyooshea Kidole Wanaotaka Kuandamana

Rais Dkt John Magufuli amewaonya vikali watu wanaopanga kufanya maandamano nchini humo akisema kwamba hawataruhusiwa. “Wapo watu wangependa nchi hii kila siku tuwe na migogoro,” amesema Dkt Magufuli. “Wapo watu ambao wameshindwa kufanya siasa za kweli, wangependa kila siku tuko barabarani tunaandamana. Watu wao wanahamia huku, wao wanataka wabaki wanaandamana kule. Nitasema ngoja waandamane wataniona. Kama kuna baba zao wanawatuma, ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons