Daily Archives: March 11, 2018

WAKULIMA 2000 WAONGEZA KIPATO KWA UJENZI WA DARAJA LA MIVARF

Wakulima 2000 kutoka vijiji sita vya, Kata ya Kiru Wilayani Babati wameongeza kipato kutokana na ujenzi wa daraja lililojengwa na Mradi wa Miundombinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za kifedha Vijijini (MIVARF), ikiwa ni sehemu ya malengo ya mradi huo katika kuongeza kipato nchini hususan maeneo ya vijijini. Wakulima hao wa Kata ya Kiru, inayojumuisha kaya 306, walishindwa kuongeza ...

Read More »

PICHA MBALIMBALI MEYA WA DAR ES SALAAM ALIVYOMTEMBELEA WAZIRI MSTAAFU LOWASSA

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita jana alimtembelea ofisini kwakwe na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward Lowassa ,ambapo wamejadiliana mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya jiji la Dar es Salaam.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons