Daily Archives: March 13, 2018

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA VIJIJI YAOMBWA KUTOA TENDA KWA VIJANA WENYE VIKUNDI

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kibaha Vijijini imeombwa kuwapatia tenda ndogondogo za ufundi vijana wenye vikundi kama ujenzi wa madarasa,ufyatuaji wa matofali,uchomeleaji wa madirisha au milango au kitu chochote,uaandaji wa chakula katika matukio mbalimbali ya halmashauri ili wajikwamue kiuchumi kwa kuwa uwezo wa kufanya kazi hizo wanao. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa ...

Read More »

DONALD TRUMPA AMTIMUA WAZIRI WA MAMBO YA NJE YA MAREKANI TILLEROIN

Rais Donald Trump amemfukuza kazi waziri wake wa mambo ya nchi za nje Rex Tillerson na kumchagua mkurugenzi wa idara ya ujasusi ya CIA, Mike Pompeo kuchua nafasi yake. Nafasi ya Pompeo katika CIA itachukuliwa na aliyekua naibu wake Gina Haspel. Katika ujumbe wa twitter, Rais Trump alimshukuru Tillerson akisema, “Mike Pompeo, Mkurugenzi wa CIA atakua waziri mpya wa mambo ...

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE AWAONYA MAOFISA HABARI WA SERIKALI

Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dr. Harison Mwakyembe amewaonya maofisa habari wa serikali ambao hawatangazi kazi za maendeleo zinazofanywa na serikali watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi. Dr. Mwakyembe ametoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wananchama wa chama cha maafisa mahusiano serikalini unaofanyika mkoani Arusha, nakusema maafisa habari wa serikali ambao wanatumia vifaa walivyopewa kwa matumizi ...

Read More »

HATUA YA ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO “AZAM SPORTS ”KUANZA IJUMAA IJAYO

Hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation Cup’ inatarajia kuendelea Ijumaa ya Machi 30 2018 kwa mchezo mmoja kupigwa. Stand United itakuwa nyumbani kupambana na Njombe Mji katika Uwanja wake wa nyumbani, CCM Kambarage, mchezo utakaoanza saa 10 kamili jioni. Baada ya mchezo huo siku ya Ijumaa, michezo hiyo itaendelea tena Jumamosi ya Machi 31 2018 ...

Read More »

PHILIPPE COUNTINHO AUSHAWISHI UONGOZI WA BARCELONA KUMRUDISHA NEYMAR

Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Philippe Coutinho anasema kuwa angependelea mshambuliaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 26 Neymar kurudi Barcelona. Neymar alijiunga na PSG kutokea Barca kwa dau lililovunja rekodi la £198m mwisho wa msimu uliopita na kupelekea Barcelona kumsajili Coutinho, amabapo kwa sasa ameweza kufiti katika timu hiyo ya Nou Camp.  

Read More »

TSHITSHIMBI AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARI

Tshitshimbi ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari na kuwashinda Emanuel Okwi wa Simba na Buswita. Ametwwa Tuzo hiyo baada ya kutupia mabao matatu na kukisaidia kikosi chake cha Yanga kuibuka na alama 12. Katika kinyang’anyiro hicho Tshitshimbi ameshindana na Pius Buswita wa Yanga SC na Emmanuel Okwi wa Simba SC. Kawaida mshindi wa tuzo hiyo huzawadiwa kitita cha ...

Read More »

MAGAZETI YAJUMANNE LEO MARCH 13,2018

Hatimaya Mapingwa watetezi,Yanga SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kuibamiza Stand United mabao 3-1 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 21. Yanga sasa wanalingana kwa pointi na vinara wa muda mrefu msimu huu, Simba SC ingawa mabingwa hao ...

Read More »

WATOTO YATIMA,WAISHIO MAZINGIRA MAGUMU WAPEWA ELIMU BURE YA UFUNDI

Katibu wa mbunge wa jimbo la mufindi kaskazini Baptist Mdende ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye maonyesho hayo akiwa kwenye moja ya mashine zilizopo katika karakana ya uhunzi na uundaji wa vyuma akipata maelezo kutoka kwa wanafunzi ambao wanajifunza kupata ujuzi wa fani hiyo na kuja kulitumikia taifa hili hata kuanzisha viwanda vidogo vidogo au kwenda kufanya kazi kwenye viwanda mbalimbali ...

Read More »

Barclays Tanzania marks the International Women’s Day

 Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (right), addresses some of the bank’s female staff during the function to mark the International Women’s Day in Dar es Salaam over the weekend.  Barclays Bank CIB Sales, Naomi Mafwiri Rhubera (left), gives a testimony during a function hosted by Barclays for its female staff members to observe this year’s International Women’s Day in ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons