Agizo la JPM laibua mzozo Pwani

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Hofu imetanda kuhusu hatua ya uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, kutoa ekari 1,000 kati ya 5,900 za shamba la kampuni ya United Farming (UFC) lililopo Mlandizi mkoani Pwani  zilizofutwa na Rais John Magufuli. Ardhi hiyo imemegwa ili iuzwe kwa mwekezaji, kampuni ya Kiluwa Steel Group…

Read More

Polisi yatamba kuwadhibiti ‘Wakorea Weusi’ Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya Polisi mkoani Mbeya imetangaza kukidhibiti kikundi cha uhalifu cha vijana wanaojitambulisha kama ‘Wakorea Weusi’, wakijihusisha na kujeruhi watu na uporaji mali za watu. Kikundi hicho ni miongoni mwa makundi ya kihalifu yaliyoibuka hivi karibuni mjini hapa, na kutambuliwa kwa majina tofauti, hali iliyozua sintofahamu na hofu kwa wakazi wa mjini humo….

Read More

Urusi yaionya Uingereza

Urusi imeionya Uingereza kutokana na kitendo chake cha kuwafukuza wanadiplomasia wake 23, baada ya kuituhumu nchi hiyo kuhusika na shambulizi la sumu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi aliyekuwa akiishi uhamishoni Uingereza. Kufukuzwa kwa raia hao wa Urusi, kulitokana na madai ya nchi hiyo kuituhumu Urusi kuhusika na shambulizi la sumu dhidi ya jasusi…

Read More

‘Niliondolewa kijeshi’, Mugabe

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema tukio la kuondolewa kwake madarakani kwa kutumia nguvu za kijeshi, haina tofauti na mapinduzi ya kijeshi yanayoweza kutokea kokote kule duniani. Akizungumza na Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) kwa mara ya kwanza tangu alipoondolewa madarakani Novemba mwaka jana, amesema mapinduzi ya aina hiyo hayana budi…

Read More