UJUMBE WA PASAKA KUTOKA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT)

TAIFA LETU, AMANI YETU A. UTANGULIZI “Fumbua Kinywa chako kwa ajili yake aliye bubu; Uwatetee watu wote walioachwa peke yao; Fumbua kinywa chako, uhukumu kwa haki; uwapatie maskini na wahitaji haki yao” (Mithali 31: 8-9). Wapendwa wana KKKT, Watukuka, watu wote na familia ya Mungu katika Taifa letu, “Amani iwe kwenu!; Kristo Amefufuka (Yohana 20:19)….

Read More

Mabula ashangaa mabilioni ‘kulala nje’

Na Munir Shemweta “Sekta ya ardhi ni nyeti kuliko sekta yoyote na iwapo itasimamiwa vizuri basi itaiingizia Serikali mapato makubwa kuliko sekta nyingine’’. Hiyo ni kauli ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, wakati akikagua Mfumo wa Ukusanyaji Kodi ya Ardhi kwa njia ya kielektroniki (GEPG) katika mikoa ya Mara,…

Read More

Tuzungumze maendeleo ya watu

NA MICHAEL SARUNGI Nchi yetu ilipopata uhuru kutoka kwa wakoloni mwaka 1961 wananchi walipata madaraka ya kisiasa, hata hivyo sehemu kubwa ya uchumi bado ilibaki mikononi mwa wageni na baadhi ya Watanzania. Hali hiyo ilileta kero na ikawa mojawapo ya sababu muhimu zilizochangia kutangazwa kwa Azimio la Arusha tarehe 5/2/1967. Azimio hilo lilikuja na mkakati…

Read More

Yah: Kumbukizi ziakisi ukweli wa marehemu.

Kama kuna wakati nimepokea arafa nyingi za wasomaji wa barua yangu basi ni wiki jana, kila mmoja na mawazo yake, wapo waliodiriki kusema ninaegemea upande fulani kwa maslahi binafsi na wapo walionielewa na kupongeza juu ya waraka wangu ule wa wiki jana juu ya maandamano, nirekebishe; jambo muhimu lililobeba lawama zote ni kwamba mimi sikupinga…

Read More

Trafiki Rorya, Tarime wametuonea

Jumanne, Machi 20, 2018 ni siku ambayo hatuwezi kuisahau sisi waongoza watalii watatu. Tulifanyiwa kitendo cha uonevu wa hali ya juu pamoja na kunyanyaswa wageni watalii, raia wa Marekani tuliokuwa tukiwapeleka Sirari. Tukio hili tulifanyiwa na polisi trafiki katika wilaya za Rorya na Tarime mkoani Mara. Tulibambikiwa makosa, tukalipishwa faini na kuwachelewesha wageni, hali iliyowafanya…

Read More