Monthly Archives: April 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA IRINGA-DODOMA KATIKA SEHEMU YA IRINGA-MIGORI-FUFU KM 189 ILIYOKAMILIKA KUJENGWA KATIKA KIWANGO CHA LAMI

                                                                                                                        ...

Read More »

Yah: Naamini wengi wetu ni bendera fuata upepo

Kuna wakati niliwahi kuandika barua mahususi katika uga huu, nikijaribu kuelezea madhara ya watu kuiga mambo na kushabikia bila kujua kile ambacho wanaiga kina madhara gani, wapo waigaji wa mambo bila kujua labda wanakoiga wanaigiza na siyo uhalisia. Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, najivunia Utanzania wangu na ninaweza kuusema mahali popote pale bila kuwa na haya wala soni, ni Mtanzania ...

Read More »

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kuwa kiongozi wa kwanza wa Afrika kulakiwa na Donald Trump Marekani

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari atakuwa kiongozi wa kwanza wa taifa la kutoka bara Afrika kulakiwa na Rais wa Marekani Donald Trump White House atakapokutana na kiongozi huo kwa mashauriano rasmi mjini Washington baadaye leo. Marais wengine wa Afrika wamewahi kukutana na Bw Trump akiwa rais, wakiwemo Paul Kagame wa Rwanda na Uhuru Kenyatta wa Kenya, lakini nje ya Marekani. ...

Read More »

Adhabu iliyotangazwa kwa watakaokamatwa wametupa takataka hovyo Jijini Dodoma

Siku tatu baada ya Rais Dkt Magufuli kuipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa, mtu yeyote atakayekamatwa akitupa takataka hovyo, atakamatwa na kutozwa faini ya TZS 50 milioni, ikiwa ni kwa mujibu wa sheria ndogo za usafi. Mkurugenzi Kunambi ameyasema hayo jana Aprili 29 wakati akizungumza na wafanya usafi ndani ya ...

Read More »

SIMBA YAPATA HARUFU YAUBINGWA BAADA YA KUITANDIKA YANGA 1-0

Bao pekee la Erasto Nyoni limeipa Simba ushindi dhidi ya watani zao wa jadi Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam . Nyoni alifunga bao hilo katika dakika ya 37 kwa kichwa, kufuatia mpira wa adhabu uliopigwa kushoto mwa Uwanja na mshambuliaji Shiza Kichuya. Katika mchezo huo mashabiki wa Simba wlaijitokeza ...

Read More »

SIMBA VS YANGA LEO SAA KUMI KAMILI JIONI

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga utakaochezwa leo Jumapili  29,2018 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, utakuwa mgumu Zaidi ya chuma kutokana na historia ya timu hzio zinapokutana huwa ni vigumu kutabiri. Lakini katika mchezo wa leo Simba inapewa nafasi kubwa ya kushinda kuliko Yanga kwani Simba msimu huu inaonekana ipo vizuri na ...

Read More »

CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TAWI LA CHATOA MREJESHO WA MRADI WA ONGEZEKO LA WANAWAKE KATIKA SHUGHULI ZA SIASA NA UONGOZI

Isabela Nchimbi Afisa Mradi Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akizungumza katika mkutano wa kutoa Mrejesho wa Matokeo ya Awamu ya Kwanza ya Mradi uliokuwa na lengo la Kuchangia Ongezeko la Uwakilishi na Ushiriki wa Wanawake katika Shughuli za Uongozi na Siasa uliofanyika kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam ikishirikisha wadau mbalimbali kutoka vyama vya siasa , Asasi ...

Read More »

NSSF YAWAELIMISHA WAAJIRI KUHUSU SHERIA MPYA YA HIFADHI YA JAMII NA WAJIBU WAO ILI KULINDA HAKI ZA WANACHAMA

Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji, Bathow Mmuni, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa Semina ya Waajiri kuhusu Sheria Mpya ya Hifadhi ya Jamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na NSSF.  Baadhi ya waajiri katika semina hiyo. Meneja Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Temeke, James Oigo, akisisitiza jambo ...

Read More »

Hizi ndizo faida Zilizopatikana Baada ya Ndage kubwa Kutua Tanzania

  Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari amesema, kufuatia huduma waliyoitoa kwa ndege ya Emirates iliyotua nchini kwa dharura, Tanzania sasa imepanda katika viwango vya kimataifa na kufikia asilimia 64 kutoka asilimia 37 vilivyowekwa na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO). Ndege hiyo ya gharofa iliyotua kwa dharura nchini, ilikuwa na abiria zaidi ya ...

Read More »

Rais achukua hatua hizi dhidi ya waliohujumu fedha za mradi wa maji Dodoma

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuwatafuta na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria wahusika waliohujumu kiasi cha shilingi bilioni 2 katika mradi wa maji wa Ntomoko ulioko wilayani Kondoa. Rais Magufuli aliyasema hayo jana wilayani Kondoa alipokuwa akifungua Barabara ya Dodoma hadi Babati yenye kilomita 251. “Wahusika watafutwe ili warudishe fedha walizochukua au wahakikishe mradi unakamilika. ...

Read More »

USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA MOROGORO WASHIKA KASI

  Afisa Msajili Mkoa wa Morogoro Ndg. Sererya Wambura (kulia\0 akiwa pamoja na Afisa Mchambuzi Mifumo ya Kompyuta wa NIDA Ndg. Rajabu Kabeya wakipitia ripoti za Usajili na Utambuzi wa watu za mkoa wa Morogoro. Ndg. Thabit Salum Likanyaga Mwenyekiti Serikali ya Mtaa wa Kilongo, Kata ya Mkundi akigawa fomu kwa wananchi wa mtaa wake kwa ajili ya zoezi la ...

Read More »

Tanzia: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Abbas Kandoro afariki dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro amefariki dunia leo Ijumaa Aprili 27, 2018 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Awali alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Kabla ya kustaafu utumishi wake, Kandoro alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ambapo alipokelewa kijini ya Amos Makalla. Mpaka kustaafu kwake, Abbas ...

Read More »

MDOGO WA MBUNGE JOHN HECHE ACHOMWA KISU NA POLISI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limashikiliwa Koplo Marwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Suguta Chacha akiwa chini ya Ulinzi. Akielezea chanzo cha tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe amesema kuwa, kulitokea mabishano kati ya marehemu na askari huyo ambapo walikuwa wakijibizana kilugha, hali iliyopelekea baadhi ya askari kutokuelewa kilichokuwa kikizungumza, ndipo ...

Read More »

JAJI MKUU AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KATIKA KIWANJA CHA MAHAKAMA-DODOMA

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa upandaji miti, kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, kushoto ni Mhe. Ferdinand Wambali,Jaji Kiongozi Mahakama Kuu ya Tanzania. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akipanda mti wake. Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akipanda mti. Watumishi ...

Read More »

JOSE MOURINHO AKATAA LAWAMA KUHUSU MOHAMED SARAHA

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa anatakiwa apewe sifa kwa kumleta Chelsea mshambuliaji wa Misri mwenye umri wa 25 Mohamed Salah wakati alipokuwa mkufunzi wa Chelsea na sio kulaumiwa ya kumuuza mchezaji huyo katika klabu ya Roma 2016. Mohamed Sarah kwa sasa ni mchezaji hatari katika Ligi kuu ya Uingereza akiwa na Majogoo wa Jiji la Liverpool, ambapo ...

Read More »

HAJI MANAR AWAKAAA SIMBA NA YANGA KUITWA MAHASIMU

Ofisa Habari wa Simba SC, Haji Manara, amewakataza Wanahabari kutumia neno MAHASIMU badala ya WATANI pindi wanapotangaza na kuziandika klabu hizo. Manara ameeleza kuwa Simba na Yanga si mahasimu bali ni watani wa jadi, tofauti na baadhi ya vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikiripoti tofauti. Manara ameyasema hayo leo alipotisha kikao na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Simba, ...

Read More »

SIMBA SC YAIKIMBIA YANGA MOROGORO, YAREJEA DAR

Timu ya Simba wamerejea jijini Dar es Salaam leo wakitokea Morogoro. Simba wamerejea jijini Dar es Salaam wakitokea Morogoro, hali ambayo imewashangaza wengi. Kawaida huondoka siku moja kabla ya mechi, lakini Simba wameamua kurejea Dar es Salaam siku mbili kabla. Simba ilikuwa Morogoro kujiandaa na mechi dhidi ya watani wake Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili. ...

Read More »

Wakimbizi 21 wa Congo wafikishwa kortini Rwanda kwa kufanya maandamano

Wakimbizi 21 kutoka kambi hiyo jana wamefikishwa mahakamani kujibu mashitaka ya kuunda kundi la uhalifu na kufanya maandamano kinyume cha sheria. Wakati mvutano ukiendelea baina ya polisi wa Rwanda na wakimbizi kutoka Congo katika kambi ya Kiziba magharibi mwa Rwanda, mwendesha mashtaka anataka wapewe kifungo zaidi cha siku 30 ili kumpa muda wa kukusanya ushahidi zaidi. Wao wanasema wanazuiliwa kinyume ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons