Daily Archives: April 4, 2018

Rais, wadau saidieni wanafunzi Butiama

Si jambo jema sana kutumia safu hii kueleza shida ninazoguswa nazo moja kwa moja. Si vizuri kwa sababu naweza kuonekana najipendelea. Hata hivyo, nitakuwa sina msaada endapo nitashindwa kutumia fursa hii kufikisha sauti ya ‘wasio na sauti’ kwa nia njema ya kuona wakisaidiwa. Hivi karibuni Rais John Magufuli, alitoa msimamo mzuri alipoagiza kwa ukali kabisa wanafunzi wasizuiwe kupata haki yao ...

Read More »

Kamwe tusiruhusu kuvuruga umoja wetu

Matamko ya hivi karibuni ya viongozi wa dini kwa upande mmoja; na wanasiasa na Serikali kwa upande mwingine, yameibua fikra, ishara na tafsiri tofauti kwenye jamii. Viongozi wa dini wametoa matamko yenye ishara ya kutoridhishwa na mfululizo wa matukio nchini, yakihusu misingi ya haki za binadamu, demokrasia na utu. Sehemu ya madai yanayohusiana na ‘maeneo’ hayo yaliwahi kutolewa na watu ...

Read More »

Ujenzi wa viwanda, muhogo Na Deodatus Balile

Wiki iliyopita niliahidi kuanza kuandika masuala ya msingi katika kilimo cha muhogo. Nimepata simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakisema wanataka kulima muhogo, wengine tayari wanao muhogo na wengine wana mashamba au wengine wanatafuta mashamba ya kulima muhogo. Wengine wamepata furaha, na wengine wamekata tamaa. Nimebaini kuna kiwango kikubwa cha watu kukosa uelewa katika suala la kilimo. Wakati nawaza suala ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons