Daily Archives: April 5, 2018

Rufani ya Michael Richard Wabura Bado Kitendawili

Rufani ya Michael Richard Wambura bado kitendawili na hili ni baada ya kamati ya rufaa kuchelewa kutoa maamuzi. Je ni sahihi maamuzi kuchelewa ili haki itendeke au si sahihi kwa kuwa kamati hii imepokea taarifa ya pande zote mbili? Hebu tuzungumze hapa juu ya kile unachokiona kwenye sakata hili kwa kutoa comment yako.  

Read More »

PROF KABUDI ATAJA HATUA INAZOCHUKUA SERIKALI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA

 Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi akizungumza na wadau wa utafiti wakati akifungua Warsha ya siku mbili kwa watafiti wa Tanzania na kutoka nje iliyoandaliwa na Tasisi ya Utafiti ya REPOA leo jijini Dar es Salaam.  Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi  Amina Salim Alli akizungumza wakati anaongoza mjadala juu ya Uchumi ...

Read More »

Liverpool Yaiadhibu Manchester City Kombe la UEFA

Michuano ya UEFA Champions League hatua ya robo fainali usiku wa April 4 2018 iliendelea tena kwa michezo miwili kupigwa, FC Barcelona wakiwa katika uwanja wao wa Nou Camp walicheza dhidi ya AS Roma wakati Liverpool walicheza na Man City katika dimba la Anfield. Game kati ya Liverpool dhidi ya Man City ndio ilikuwa inasubiriwa kwa hamu usiku huo, hii ...

Read More »

Mafanikio yoyote yana sababu (16)

Padre Dk Faustin Kamugisha Kufanya kazi kwa bidii ni siri ya mafanikio. Kuchapa kazi ni siri ya mafanikio. Ndoto hazifanyi kazi mpaka uzifanyie kazi. Haitoshi kuwa na kipaji lazima kufanya kazi kwa bidii. “Kipaji bila kufanya kazi kwa bidii si kitu,”alisema Cristiano Ronaldo. Katika Kamusi ya Kiswahili neno “kazi” linatangulia neno “mafanikio.”  Si katika Kamusi ya Kiswahili hata katika ukweli ...

Read More »

Cape Town: Jiji la kitalii linalokabiliwa na upungufu wa maji

Cape Town iliyopo Afrika Kusini ni miongoni mwa majiji machache yenye vivutio vya utalii vinavyochangia pato la taifa hilo lenye nguvu kubwa ya uchumi barani Afrika, hivi sasa linakabiliwa na upungufu wa maji ulio kero kwa wenyeji na wageni. Meya wa jiji hilo, Patricia De Lille amesema upungu wa maji uliopo umesababisha matumizi ya maji jijini humo kushuka kufikia lita ...

Read More »

Wakulima wa kahawa kupata neema

Na Charles Ndagulla, Moshi WAKULIMA wa zao la kahawa nchini hawana budi kufurahia mabadiliko ya taratibu mpya  za usimamizi wa sekta ndogo ya kahawa baada ya kupitishwa kwa uamuzi mgumu ambao utachangia kuleta ufanisi katika uzalishaji wa zao hilo. Miongoni mwa uamuzi huo magumu ni pamoja na wanunuzi binafsi kupigwa marufuku kwenda vijijini kunuua kahawa ya wakulima ambako sasa jukumu ...

Read More »

Nyerere – Demokrasia

“Wananchi wanapoonyesha makosa ya uamuzi wa kipumbavu wanatumia haki yao ya uraia. Wanaponung’unika kwa uamuzi ambao si wa kipumbavu wanaweza wakaelekezwa mpaka wakaelewa kwanini uamuzi ule ulifanyika, na faida zake ni nini.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyochukuliwa katika ukurasa wa 128-129 katika kitabu cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu Nyerere aliyezaliwa mwaka 1922. Alifariki dunia Oktoba 14, ...

Read More »

Maelfu wamzika Allen Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya MAELFU ya Wakazi wa Jiji la Mbeya wamejitokeza kumzika Shemasi wa Kanisa la EAGT, Kisima cha Bubujiko lililopo Mtaa wa Iyela II, Uwanja wa Ndege wa Zamani, jijini Mbeya, Allen Achiles Mapunda (20), aliyefariki Machi 25, mwaka huu, katika hospitali ya Rufaa Kanda ya  Mbeya. Kifo cha Mapunda kimezua utata  mkubwa kwa kufariki muda mfupi baada ya ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons