Daily Archives: April 12, 2018

CCBRT NA TCCO WAENDESHA MAFUNZO YA MATIBABU YA NYAYO ZA KUPINDA

HOSPITALI ya  CCBT ya Jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na kutoa huduma na matibabu ya nyayo za kupinda Tanzania( TCC0) wameendesha mafunzo ya wiki moja ya namna ya kutibu nyayo zilizopinda. Huduma hiyo iliandaliwa pia kwa kushirikiana na wadau wa mradi wa mafunzo ya matibabu ya nyayo zilizopinda Afrika (ACT). Mafunzo hayo yanalengo ...

Read More »

Simba Sc Yaendelea Kutunza Rekodi ya Kutokufungwa Ligi Kuu Bara

SIMBA SC imeendelea kushikiria record yake ya kutokufungwa kwenye Ligi Kuu baada ya leo kuifunga Mbeya City kwa Mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ushindi huo unawafanya Simba wafikishe pointi 55 baada ya kucheza mechi 23, moja zaidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 47 katika nafasi ya pili. Katika mchezo huo uliochezeshwa na Mwamuzi, Hance ...

Read More »

SERIKALI ITAENDELEA KUMUENZI SOKOINE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma ili kuenzi fikra za hayati Edward Moringe Sokoine.   “Tutaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma kwa kuzingatia yale yote ambayo Mheshimiwa Sokoine aliyaanzisha,” amesema.   Ametoa kauli hiyo leo mchana (Alhamisi, Aprili 12, 2018) wakati akizungumza na mamia ya wananchi na viongozi waliohudhuria ...

Read More »

WAZIRI MKUU AIASA JAMII KUMUENZI MZEE MTOPA KWA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiasa jamii nchini kujiepusha  na migogoro kwa vile haina tija  na badala yake idumishe amani, upendo na uadilifu ili kumuezi mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu  Alhaj Ali Mtopa.   Aliyasema hayo jana (Jumatano, Aprili 11, 2018) alipomuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mwanasiasa huyo yaliyofanyika katika kijijini Nanjilinji wilayani Kilwa. Alhaji Mtopa alifariki Jumatatu Aprili ...

Read More »

NCAA YADHAMINI NGORONGORO MARATHON

Mashindano ya Ngorongoro Marathon 2017, ambayo kwa mara ya kwanza yalidhaminiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Mamlaka hiyo inadhamini kwa mara ya pili mwaka huu. (Picha na Yusuph Mussa).   Na Yusuph Mussa, Tanga MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongo (NCAA) imedhamini mashindano ya Ngorongoro Marathon kama sehemu ya njia ya kukuza utalii kwenye eneo hilo lenye vivutio vya ...

Read More »

MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ALI MTOPA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiasa jamii nchini kujiepusha  na migogoro kwa vile haina tija  na badala yake idumishe amani, upendo na uadilifu ili kumuezi mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu  Alhaj Ali Mtopa.   Aliyasema hayo jana (Jumatano, Aprili 11, 2018) alipomuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mazishi ya mwanasiasa huyo yaliyofanyika katika kijijini Nanjilinji wilayani Kilwa. Alhaji Mtopa alifariki Jumatatu Aprili ...

Read More »

Nguvu ya msamaha katika maisha

“Kutokusamehe ni kama kunywa dawa ya panya na kungoja ili panya afe.”- Anne Lamott. Alikuwapo msanii mmoja jina lake aliitwa Pablo Picasso 1881-1973, raia wa Hispania. Msanii huyu alikuwa anataka kuchora kitu kizuri duniani, msanii huyu alimwendea Padre mmoja na kumuuliza, Baba ni kitu gani kizuri duniani? Kwani ningependa nikichore kwenye turubai langu. Padre akamjibu akamwambia, kitu kizuri duniani ni ...

Read More »

Wanafunzi ‘Shule ya Waziri Jafo’ wasomea chini ya mti

DODOMA EDITHA MAJURA Shule ya Msingi Nzuguni ‘B’ ya mkoani Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa hivyo kuwalazimu wanafunzi kusoma kwa zamu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo, ndiye mlezi wa shule hiyo yenye wanafunzi 2,402, madarasa tisa na matundu manane ya vyoo. Uchunguzi wa JAMHURI, umebaini kuwa ili ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons