Daily Archives: April 14, 2018

KATIBU MKUU TARISHI AONGEA NA WATENDAJI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI CHA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Maimuna Tarishi akifuatilia kikao na Kikosi kazi cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi, leo mjini Dodoma tarehe 13 Aprili, 2018. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Maimuna Tarishi akiongoza kikao na Kikosi kazi cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kinachohusika na Uboreshaji wa Daftari la Kudumu ...

Read More »

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUJADILI JINSI YA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

SERIKALI ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanapata mafao bora na stahiki ya fidia tofauti na sheria ya zamani iliyotoa viwango vya chini vya fidia, lakini pia kuwawezesha waajiri kupata muda zaidi kushughulikia masuala yao ya uzalishaji na uendeshaji. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi , Ajira, ...

Read More »

WATAFITI WA KODI AFRIKA WAJENGEWA UWEZO

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Michael John akimkabidhi mshiriki kutoka Tunisia Bw. Jabali Belhanssen cheti cha ushiriki wa mafunzo ya utafiti ambayo yafanyika jijini Dar es Salaam kwa ushirikiano wa Taasisi ya Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF) na Chuo cha Kodi (IAT). Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA) ...

Read More »

OKWI AMTIA HOFU AMISI TAMBWE KWA KASI YA UFUNGAJI

Staika mkongwe wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Amissi Tambwe ameanza kuingiwa na hofu ya kumuona Emmanuel Okwi wa Simba akivunja rekodi zake katika Ligi Kuu Bara huku akisema jamaa ni balaa. Tambwe, raia wa Burundi, ana rekodi nyingi katika ligi kuu ikiwemo ile ya ufungaji bora mara mbili katika msimu wa 2013/14 akifunga mabao 19 na msimu ...

Read More »

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally Awashauri Wafanyabiashara

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally amewashauri wafanyabiashara wa Zanzibar kuwa wabunifu katika biashara zao ili kuongeza thamani ya biashara zao jambo litakalosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Zanzibar kwa ujumla. Waziri Amina aliyasema hayo alipokuwa akizindua hafla ya Klabu ya Biashara ya NMB ambapo pamoja na kutoa ushauri huo kwa wafanyabiashara pia aliipongeza benki ...

Read More »

Ruvu Shooting ilistahili kushinda Mechi Yao Dhidi ya Azam FC

Kikosi cha Ruvu Shootinga kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Mabatini, Mlandizi jana. Mchezo umepigwa jana baada ya kuahirishwa juzi Alhamis kufuatia mvua kali kunyesha iliyosababisha maji kujaa Uwanjani. Mabao ya Ruvu yamefungwa na Khamis Mcha katika dakika ya 29 kipindi cha pili huku bao la pili ...

Read More »

Mzee Jakaya Kikwete Akiwa Mlimani City Pamoja na Wajukuu Zake

Jana Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete alitembezwa na wajukuu zake kwenye maduka ya kununulia vifaa vya kuchezea watoto katika madukaa ya Mlimani City lililopo jijini Dar es Salaam “Leo ilikuwa zamu ya wajukuu zangu kunitembeza babu yao na safari yetu iliishia Mlimani City kwenye duka la vifaa vya watoto vya kuchezea. ”  Mzee Jakaya aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter

Read More »

ESTER BULAYA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI DAR

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inamshikilia Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya baada ya kuripoti katika kituo kikuu cha Polisi na viongozi wenzake wa CHADEMA, kama walivyoamriwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Read More »

Tahadhari kwa Mikoa Hii Itakumbwa na Mvua Kubwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya uwepo kwa vipindi vya mvua kubwa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo usiku mpaka Aprili 16, mwaka huu. Mikoa iliyotajwa kuwa na vipindi vya mvua kubwa ni pamoja na Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. Katika ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons