Paroko ‘kufungwa’ kwa kung’oa mawe

Na MWANDISHI WETU Paroko wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Kristu Mfalme- Tabata, Padre Peter Shayo na mfuasi wake Denis Emidi, wapo hatarini kufungwa miaka miwili jela kwa kosa la kung’oa mawe ya upimaji uliofanywa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, DDar es Salaam. Taarifa hizi zimelifikia JAMHURI zinaonyesha kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala wameanza…

Read More
Balile

Bomu la watu laja Afrika

Na Deodatus Balile Mpendwa msomaji salaam. Wiki iliyopita sikuwa katika safu hii. Nilisafiri kwenda Kisarawe kidogo kwa ajili ya kupeleka taarifa za kilimo cha muhogo. Niliitwa na viongozi wa wananchi wa Kijiji cha Gwata, wilayani Kisarawe waliotaka kufahamu taratibu na jinsi ya kupata fursa ya kilimo cha muhogo nchini. Taratibu zinaendelea na nimewajulisha viongozi wa…

Read More

Waethiopia 85 watelekezwa Goba

Wahamiaji haramu 85 raia wa Ethiopia, wamekamatwa katika eneo la Goba jijini Dar es Salaam baada ya kutelekezwa, anaripoti Mwandishi Wetu. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dk. Anna Makakala, amethibitishia JAMHURI kukamatwa kwa watu hao. Amesema Uhamiaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wanaendelea kuwasaka wengine ambao taarifa zinasema bado wako mitaani. “Tulipata taarifa kutoka kwa…

Read More

Wanaoiba wabanwe

Wiki iliyopita taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imewasilishwa bungeni. Taarifa hii inaonyesha kukua kwa deni la taifa la kuzidi trilioni 50. Imeonyesha kuwa wizara kadhaa zimekuwa na upotevu wa fedha za umma. Leo pia tumechapisha sehemu ya taarifa hizo ikionyesha Wizara ya Kilimo ilivyofuja fedha za mbolea. Inaonyesha pia…

Read More

John Bocco: Lipuli Kaeni Chonjo Jumamosi

John Bocco, amesema Lipuli ijiandae kupokea kipigo kwa kuwa lengo lao kubwa ni kupata ubingwa. Mchezaji huyo ambaye jana alifunga bao la kwanza wakati Simba ikiifungaTanzania Prisons Uwanja wa Taifa, amesema mechi na Lipuli si ya kubeza lakini sisi tupo vizuri. Bocco ameeleza kuwa wanaijua Lipuli vizuri na watacheza kwa kujituma ili kupata matokeo waweze…

Read More