MDOGO WA MBUNGE JOHN HECHE ACHOMWA KISU NA POLISI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limashikiliwa Koplo Marwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Suguta Chacha akiwa chini ya Ulinzi. Akielezea chanzo cha tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe amesema kuwa, kulitokea mabishano kati ya marehemu na askari huyo ambapo walikuwa wakijibizana kilugha, hali iliyopelekea baadhi ya…

Read More