Wakenya waandamana dhidi ya rushwa Kenya baada ya ufichuzi wa uporaji mkubwa

Raia wa Kenya wanafanya maandamano makubwa katika miji mikubwa ya nchi hiyo kulaani ufisadi wa mabilioni ya dola katika serikali. Mijadala juu ya kashfa za Ufisadi imetawala mitandao mbali mbali ya kijamii kupitia mada: #TakeBackOurCountry, #STOPTheseTHIEVES, #SitasimamaMaovuYakitawala na #NotYetMadaraka. Katika kampeni hiyo inayoendeshwa kupitia mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Twitter Wakenya wanasema wamechoshwa…

Read More

Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid

Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya. Zidane aliambia mkutano na vyombo vya habari kwamba kila kitu kinabadilika na kwamba hiyo ndio sababu ya uamuzi wake Anaondoka baada ya kuisaidia klabu hiyo kushinda mataji matatu ya klabu bingwa na taji moja la ligi ya La…

Read More

Mhubiri awaomba waumini wamnunulie ndege yake ya nne Marekani

Mhubiri mmoja wa Kiinjilisti nchini Marekani amewaomba waumini wake kuchanga pesa za kumsaidia kununua ndege yake ya nne. Amesema hata kama Yesu angekuwepo siku hizi, “hangekuwa anapanda punda”. Jesse Duplantis amesema Mungu amemwambia anunue ndege aina ya Falcoln 7X ambayo inagharimu $54m (£41m). Ameongeza kwamba alikuwa na shaka pia kuhusu kuendelea na ununuzi huo mwanzoni,…

Read More

TFF YAONGEZA MPUNGA KWA BINGWA WA KOMBE LA FA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeongeza zawadi ya mshindi wa Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation Cup’ ili kuzidi kuongeza hamasa ya mashindano hayo. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Shirikisho hilo, Clifford Ndimbo, amesema kuwa zawadi ya mshindi wa Kombe hilo atatwaa kiasi cha shilingi milioni 50 huku wa pili akichukumia milioni 10. Aidha,…

Read More