Daily Archives: May 2, 2018

Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais

Mheshimiwa Rais Dk. John Magufuli. Mimi ambaye ni mkazi wa Mkoa wa Tabora niliporwa nyumba yangu mwaka 2006 na wenye uwezo wa kiuchumi lakini mpaka leo sijafanikiwa kuipata. Kwamba mheshimiwa rais, nilijitahidi kufuata hatua zote muhimu zikiwa ni pamoja na za kijamii na za kisheria ndani ya mkoa huu ilishindikana. Kwamba mheshimiwa rais, kutokana na hali ya mambo kuwa kama ...

Read More »

Historia ya vyama vya ukombozi yaibuliwa Windhoek

Leo ni Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Duniani. Siwezi kukwepa taratibu za itifaki kwa kutoa salamu za pongezi kwa wafanyakazi wote kwa kuadhimisha siku hii muhimu kwetu sote leo. Salamu maalumu napenda kuzitoa kwa wanahistoria kwa kazi kubwa wanayofanya ya kutafiti na kuandika historia yetu kwa manufaa ya vizazi vyote, vya sasa na vya baadaye. Lakini salamu mahususi kabisa nazitoa ...

Read More »

Baadhi ya vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau – 2

Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya zetu, kwa watu wa jinsia zote na rika zote. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni, takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha kuwa idadi ya wanaume watu wazima wanaopatiwa vipimo vya afya ni ndogo kuliko idadi ...

Read More »

Miundo ya Serikali

Tukumbuke serikali ni chombo muhimu sana katika maisha ya jamii. Na ni chombo cha hatari kwa watu wale wale inayowatumikia. Tunapozungumzia juu ya maisha na maendeleo ya watu katika jamii, ni dhahiri shahiri tutazungumzia siasa na muundo wa serikali inayotawala katika jamii hiyo. Sikusudii kueleza chimbuko au asili ya serikali kupitia mifumo ya maendeleo ya jamii ya utumwa, ukabaila, ubepari ...

Read More »

UDART wanahitaji mshindani

NA MICHAEL SARUNGI Katika siku za karibuni, pamekuwapo na usumbufu kwa abiria wanaotumia huduma inayotolewa na mabasi yaendayo haraka (UDART) kiasi cha kufikia hatua ya kutumia tiketi zinazotumiwa na wasafiri wa daladala. Ingawa wahusika wamejitahidi kutoa utetezi wao kwa kusema usumbufu huo ulisababishwa na mgogoro uliokuwapo kati yao mshirika wao katika kazi, Kampuni ya Maxcom. Kwa mujibu wa utetezi wao, ...

Read More »

Donald Trump alijitungia barua kuhusu afya yake, daktari Harold Bornstein asema

Aliyekuwa daktari wa Donald Trump amesema kwamba si yeye aliyeiandika barua iliyomweleza mgombea huyo wa chama cha Republican wakati huo kuwa aliyekuwa na “afya nzuri ajabu”, vyombo vya habari Marekani vinasema. “[Trump] alitunga na kuamrisha kuandika kwa barua yote,” Harold Bornstein aliambia runinga ya CNN Jumanne. Ikulu ya White House haijazungumzia tuhuma hizo za daktari huyo. Bw Bornstein pia amesema ...

Read More »

RAIS MHE. DKT MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI ZILIZOFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA

Matukio makubwa matano yaliyoathiri Haki za Binadamu mwaka 2017 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya hali ya Haki za Binadamu kwa mwka 2017 na kuipa jina la Watu Wasiojulikana ambapo imechambua kwa undani masuala mbalimbali yaliyoathiri na pia yale yaliyoimarisha haki za binadamu nchini katika kipindi hicho. Kituo hichi kimeeleza kuwa, matukio ya kutekwa na ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons