Daily Archives: May 3, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA BARABARA NA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUZALISHA CHAKULA CHA KUKU NA VIFARANGA

 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa leo Alhamisi Mei 3, 2018.   Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa ...

Read More »

Dawasco yatangaza kuhamia mfumo wa malipo wa serikali (GePG)

Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limetangaza kuhamia rasmi katika mfumo wa malipo wa serikali (GePG). Hatua hii imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba na kampuni mbili za malipo ya kidijitali za Selcom na Maxcom waliokuwa wakikusanya malipo kwa niaba ya Dawasco. Kwa mujibu wa Dawasco, mfumo huo utaokoa jumla ya shilingi 2.4 bilioni iliyokuwa inalipwa kwa ...

Read More »

GGM na TACAIDS kuzindua Kilimanjaro Challenge 2018

  Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto)  akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa zoezi la upandaji wa Mlima Kilimanjaro  (Kilimanjaro Challenge 2018), litakalo kwenda sambamba na kuendesha harambee kuchangisha fedha  kwa mwaka 2018 kwa ajili ya kusaidia mapambano ya kudhibiti ugonjwa wa UKIMWI nchini. Kulia ni Makamu wa Rais miradi endelevu wa Kampuni ...

Read More »

DC KIGAMBONI AWAONDOLEA TAHARUKI WANANCHI WA KIBADA KUBOLEWA NYUMBA ZAO

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh.Hashim Mgandilwa ameondoa hali ya taharuki iliyokuwa imetanda miongoni mwa wananchi wa Kata ya Kibada waliowekewa alama ya kubomoa majengo yao na wakala wa barabara (TANROADS) mbali na kununua viwanja hivyo kihalali kutoka wizara ya ardhi. Akizungumza na wananchi hao kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye ofisi za Kata ya Kibada Mh.Mgandilwa amesema kuwa ofisi ...

Read More »

RAIS MAGUFULI,MBUNGE MAVUNDE NA DC NDEJEMBI WATIMIZA AHADI YAO YA KUCHANGIA SHULE YA MSINGI VEYULA-JIJINI DODOMA

Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akishiriki kuchimba msingi wa ujenzi wa madarasa shule ya msingi Veyula.    Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akishiriki kuchimba msingi wa ujenzi wa madarasa shule ya msingi Veyula pamoja na wananchi.  Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akimkabidhi fedha Kaimu Mkuu wa wilaya wa Dodoma Deogratias Ndejembi ikiwa ni mchango wake kwa ajili ...

Read More »

Ajira Mpya 10,140 za Walimu Zatangazwa

Serikali inatarajia kuajiri walimu 10,140 katika shule za msingi ili kupunguza tatizo la uhaba wa walimu nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Mei 2, bungeni jijini Dodoma na Naibu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Joseph Kakunda wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Ludewa, Deo Ngalawa (CCM). Ngalawa alitaka kujua ni lini serikali ...

Read More »

MAGUFULI: Mradi wa Ujenzi wa Ukumbi wa Mihadhara MUCE lazima Kichunguzwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameviagiza vyombo vya dola, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuchunguza mradi wa ujenzi wa jengo la ukumbi wa mihadhara na ofisi za Wahadhiri katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kilichopo katika Manispaa ya Iringa. Mhe. Rais Magufuli ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons