Daily Archives: May 4, 2018

Uamuzi wa Mahakama Kuu Mtwara kuhusu kesi ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao

Mahakama Kuu Kanda Mtwara imetoa zuio la muda dhidi ya matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao (Online Content Regulations) hadi hapo mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu maombi ya walalamikaji yaliyowasilishwa. Maombi hayo yaliyowalishwa mahakamani na waombaji 6 wakiwemo Jamii Media, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Muungano wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Baraza la Habari ...

Read More »

TWITTER: Watumiaji wetu Tafadharini Badilisheni Nywila(Password) Zenu Haraka Sana

Mtandao wa Twitter umewataka watuamiaji wake zaidi ya milioni 330 kubadili nywila (password) zao baada ya kubaini tatizo lililosababaishwa nywila za baadhi ya watumiaji kuwa wazi (unmasked) tofauti na zilivyokuwa zinatakiwa kuwa zimefunikwa (masked) katika mfumo wa kompyuta. Twitter imetoa taarifa hiyo kuanzia Alhamisi mchana kupitia blogu yake lakini pia imetuma ujumbe kwa kila mtumiaji ikimtaka kubadili nywila yake ili ...

Read More »

Msigwa Aelezea Kilichompeleka kwenye Muariko wa Rais Magufuli Iringa

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amewaomba msamaha wananchama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuatia kauli yake aliyoitoa wakati akiwa katika halfa ya chakula katika Ikulu Ndogo mkoani Iringa. Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na Rais Dkt Magufuli na viongozi waandamizi wa serikali ya awamu ya tano na viongozi wengine wastaafu, Msigwa ambaye ni Mbunge wa ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons