Daily Archives: May 7, 2018

AJALI: WATU 3 WAMFARIKI NA WENGINE 5 WAMEJERUHIWA KWA AJALI YA GARI, BOKO, DAR

AJALI : Watu 3 wamefariki dunia na wengine 5 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imetokea jioni hii eneo la Boko Magengeni Manispaa ya Kinondoni ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo gari la kubebea michanga na basi la wanafunzi Mkuu wa Trafiki Wilaya ya Kawe Inspekta msaidizi wa Polisi Makame akizungumza na TV E,/ Efm habari amethibitisha na kusema miili ya Marehemu ...

Read More »

JAJI MKUU AZINDUA MAFUNZO YA UONGOZI KWA MAJAJI

Jaji Mkuu, Prof Ibrahimu Juma, akizungumza jambo katika hafla hiyo. Baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo. Prof Juma akizungumza na waandishi wa habari. …Akiwa na majaji katika picha ya pamoja. JAJI Mkuu  Prof Ibrahimu Juma amefungua mafunzo elekezi kwa majaji wapya 14 wa Mahakama Kuu nchini yenye lengo la kuwataka wafanye kazi kwa umakini. Mafunzo hayo ni ya wiki ...

Read More »

Taarifa ya serikali kuhusu Uhaba wa bidhaa ya mafuta ya kula

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amelieleza Bunge kuwa, kuna hazina ya kutosha ya mafuta ghafi ya kula. Kwa mujibu wa Waziri Mwijage, kwenye hifadhi ya matenki ya mafuta ghafi ya kula jijini Dar es Salaam kuna mafuta ya mawese takribani tani 40,000. Amesema, meli zilizoegeshwa nje ya bandari ya Dar es Salaam zina mafuta ghafi ya mawese ...

Read More »

TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga Jack ‘Africa’ Chamangwana afariki dunia afariki dunia

Kocha wa zamani wa Yanga, Jack ‘Africa’ Chamangwana amefariki dunia jana jioni Mei 6, 2018 baada ya kuugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Malkia Elizabeth jijini Blantyre. Kocha huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 61 ameripotiwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu. Chamangwana aliyeifundisha Yanga mwanzoni mwa miaka ya 2000, alikuwa pia nyota wa zamani wa timu ...

Read More »

WAINGEREZA WAVUTIWA KUWEKEZA SELOUS, DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUWEKWA MAKUBALIANO YA AWALI (MOU)

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akimuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA, Dk. James Wakibara (hayuko pichani) kushirikiana na wawekezaji kutoka nchini Uingereza kuandaa mkataba wa makubaliano ya awali (MoU) ya uwekezaji katika sekta ya utalii kwenye Pori la Akiba Selous, ofisini kwake Jijini Dodoma juzi. Wawekezaji hao pichani ni Eva Sanchez na ...

Read More »

Yanga Yachezea Kichapo cha Mbwa Mwizi Kutoka kwa USM Alger (4-0)

Kikosi cha Yanga kimeanza vibaya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika katika hatua ya makundi kwa kukubali kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa USM Alger katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Julai 5 1962. Yanga iliyokuwa inawakosa nyota wake muhimu katika mchezo huo imekumbana na kichapo hicho kikali ikiwa ni mchezo wa kwanza wa hatua hiyo. Mabao ya ...

Read More »

Real Madrid Yaikomalia Barcelona Camp Nou

  Baada ya ubishi na headlines za muda mrefu kuhusiana na mchezo wa El Clasico kati ya FC Barcelona dhidi ya Real Madrid katika uwanja wa Camp Nou ni timu gani itaibuka mbabe dhidi ya mwenzake, hatimae usiku wa May 6 2018 macho na masikio ya mashabiki wa soka yalielekezwa Camp Nou. FC Barcelona wakiwa nyumbani wamelazimishwa sare ya kufungana ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons