Daily Archives: May 8, 2018

Viwanja vitakavyotumika Kombe la Dunia Hivi Hapa

Nchi 32 wanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) zinatarajiwa kwenda nchini Urusi kushiriki michuano ya kombe la dunia, viwanja 11 vinavyotarajiwa kutumika nchini humo  ni vifuatavyo Luzhniki Stadium, Moscow Hiki ni kiwanja kikubwa kuliko vyote nchini humo na kinauwezo wa kuingiza watazamaji 81,006 walioketi kinatarajiwa kufunguliwa wakati wa mashindano hayo. Kilijengwa mwaka 1956 na sasa kinafanyiwa ukarabati na kinatarajiwa kuwa ...

Read More »

Wafungwa wanavyoteswa Shinyanga

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu katika magereza nchini vinaendelea licha ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa mbalimbali duniani yaliyokubaliana kukomesha vitendo hivyo. Mbali na matamko ya kisera ambayo Tanzania imeridhia kwenye ngazi ya kikanda na kimataifa juu ya kuheshimu haki za binadamu, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzani ya mwaka 1977 Ibara ya ...

Read More »

Nyerere: “Kama idadi ingekuwa ngamia, Afrika ingekuwa juu”

  Haya ni maneno aliyoyasema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika siku ya maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru Ghana, jijini Accra, mwaka 1997. Alizitaka nchi za Afrika kuungana kuwa na nguvu ya kiuchumi na sauti kubwa zaidi kwani pamoja na kuwa na mataifa 53, bado ni bara linalopuuzwa duniani. Magufuli: Wakandarasi wamekula sumu “Wakandarasi walioamua kula fedha za miradi ya ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons