Daily Archives: May 9, 2018

Elimu ya kujitegemea … (3)

Hotuba ya Baba wa Taifa aliyoitoa March, 1967 Twajaribu Kujenga Taifa la Namna Gani? Maana yake neno hili ni kwamba mipango ya elimu katika Tanzania haina budi kutilia mkazo juhudi ya pamoja siyo maendeleo ya mtu mmoja binafsi. Elimu haina budi kutiliwa mkazo mawazo ya usawa, na wajibu wa kuwahudumia wengine wakati mtu anao uwezo zaidi, kama ziada hiyo ni ...

Read More »

Adhabu ya kifo tuiache ilivyo

Nimemsikia hii hivi karibuni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, akielezea ugumu wa kubadilisha Sheria ya Ndoa ya 1971. Alitaja mila na desturi, dini, na itikadi kama masuala yanayosababisha ugumu wa kuleta mabadiliko katika sheria hiyo. Kwa kifupi, haupo msimamo mmoja unaokubalika na pande hizi zote. Tatizo kama hilo lipo pia kwenye suala la hukumu ya kifo. Tumemsikia ...

Read More »

Hata Mkurugenzi wa Vodacom atoke Kenya?

Kuna taarifa kwamba kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, inakusudia kumleta raia wa Kenya kuwa Mkurugenzi Mkuu! Sijadili kwa sababu anayekusudiwa kuletwa ni Mkenya, la hasha! Najadili hoja hii kwa sababu siamini kama Watanzania, kwa mamilioni tumemkosa mmoja wa kuiongoza kampuni hii. Na hapa tukumbuke tunaletewa mgeni kuongoza kampuni licha ya kwamba tuna miaka takribani 57 ya kuwa ...

Read More »

Yah: Mhe Rais, hili ni ombwe zaidi ya ombwe

Wiki jana, nimetembelea ofisi moja ya kiongozi ambaye anasemekana anaingilia kazi za watu. Lengo langu lilikuwa ni kuonana naye tena nikiwa na hasira sana kuwasilisha malalamiko yangu ya uzembe wa viongozi wengine katika maeneo yao. Kilichonikuta kule ni huruma ya watu wengine ambao wamefika hapo kwa sababu ya kushindwa kusaidiwa na viongozi wengine.   Imeniudhi sana kwa kuwa najua wajibu ...

Read More »

Waukana Utanzania

DODOMA NA MWANDISHI WETU Watanzania 60 wameukana uraia na hivyo kuwa raia wa mataifa mengine, Bunge limeambiwa. Wakati Watanzania hao wakiukana Utanzania, wageni 135 wameomba na kupewa uraia wa Tanzania katika kipindi cha Julai, 2017 hadi Machi, mwaka huu; idadi ambayo ni ongezeko la asilimia 10 ikilinganishwa na kipindi kama hicho kwa mwaka 2016/2017. Waziri wa Mambo ya ndani ya ...

Read More »

Bandari ya Kigoma kiungo Maziwa Makuu

Na Mwandishi Maalum   Wiki iliyopita tuliwaletea makala ya jinsi Bandari ya Tanga ilivyo fursa muhimu kwa uchumi wa Tanzania na kwa nchi za Uganda na Sudani Kusini, pia bandari hiyo inaweza kuhudumia soko la DRC, Burundi na Rwanda kupitia Bandari Kavu ya Isaka na Bandari ya Kigoma kwa kutumia miundombinu ya reli na barabara.   Leo tunaendelea kuwahabarisha umuhimu ...

Read More »

Kigogo CCM anaswa uraia

*Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3   NA WAANDISHI WETU, DODOMA   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye (Nambatatu), anadaiwa kuwa si raia wa Tanzania, uchaunguzi wa JAMHURI umebaini. Kiboye ambaye anajulikana pia kwa jina la Jared ...

Read More »

Serengeti Boys yajipanga Afcon 2019

NA MICHAEL SARUNGI Ubingwa wa Kombe la Chalenji walioupata vijana wa Tanzania chini ya miaka 17 (Serengeti boys) unapaswa kuwa chachu ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), mashindano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini mwakani. Wakizungumza na JAMHURI baada timu hiyo kutawazwa mabingwa wa Afrika ya Mashariki na Kati wamesema ushindi huo ni ishara njema kwa Tanzania itakayokuwa ...

Read More »

Uhuru wa habari uanzie kwenye vyumba vya habari

DODOMA. EDITHA MAJURA. Serikali na Vyombo vya habari, wametuhumiana kuminya uhuru wa vyombo vya habari nchini. Wakati serikali ikituhumiwa kutofanya vizuri katika kudhibiti usalama wa wanahabari wanapotekeleza majukumu yao, serikali nayo imesema vyombo vya habari vinaminya maslahi ya wanahabari kiasi cha kusababisha washindwe kutekeleza majukumu yao kwa weledi unaohitajika. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, akijibu ...

Read More »

Tuboreshe elimu, tutokomeze utoro

MTAZAMO. NA ALEX KAZENGA Wakati bunge likijadili kupitisha bajeti ya Sh trilioni 1.4 iliyoletwa na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka wa fedha 2018/19, wabunge waliochangia bajeti hiyo wameonya kuhusu ubora na viwango vya elimu visivyoridhisha. Katika bajeti hiyo wizara imepanga kutekeleza vipaumbele 17, moja ya vipaumbele hivyo ni pamoja na kukarabati shule kongwe 25 za sekondari ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons