Daily Archives: May 11, 2018

Makosa matatu yanayomkabili Mhandisi aliyekamatwa kwa agizo la Rais

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MNM Engineering Service Ltd, Mhandisi Godwin Mshana aliyejenga ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Mkwawa (MUCE) cha mjini Iringa amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka matatu yanayomkabili, likiwamo shtaka la uhujumu uchumi. Mhandisi huyo alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa jana na kusomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi, David Ngunyale. Akisoma mashtaka hayo, ...

Read More »

Chombo cha Satelaiti kilichoundwa Kenya kitarushwa katika anga za juu leo kutoka Japan

Wanasayansi wa anga za juu kutoka Kenya waliokiunda chombo hicho tayari wako katika makao ya Uchunguzi wa Sayansi ya Anga za juu nchini Japan, (JAXA) ambapo chombo hicho kitarushwa kutoka huko. Nchini Kenya kwenyewe raia wataweza kufuatilia shughuli hiyo moja kwa moja kwenye mtandao wa You Tube, na sherehe maalumu ya kushuhudia imeandaliwa katika chuo kikuu cha Nairobi. Satelaiti hiyo ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons