Daily Archives: May 12, 2018

Ili Upate Mkopo Lazima uwe na Sifa Hizi

  Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa masharti ya kuzingatiwa wakati wanafunzi wanapoomba mikopo kwa mwaka wa fedha 2018/19 ili vigezo viweze kuzingatiwa kama ilivyoainishwa. HESLB imetoa masharti au vitu vya kuzingatia ambapo moja ya jambo moja ambalo limeonekana kuwashangaza wengi ni sharti namba saba ambalo limeeleza kuwa, kama mzazi/mlezi wa mwombaji anamiliki biashara, ni ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons