Daily Archives: May 13, 2018

TUNAWATAKIA SIKU YAFURAHA AKINA MAMA WOTE DUNIANI

Leo ni siku ya Mama duniani hivyo Kampuni ya Jamhuri Media inatambua mchango mkubwa uliotokana/ unatokona na Mama hivyo tunaungana na kina mama wote kuwatakia siku yao #Hakuna kama Mama

Read More »

Jiji la Mbeya Kuwaka Moto, leo kati ya Mbeya City VS Prisons

Ni vita kubwa leo jiji Mbeya, ambapo pale wafalme wawili  katika jiji hilo, Mbeya City na Tanzania Prisons. Watakapokutana kwenye mchezo wa ligi kuu kutafuta point 3. Mbeya City wanaingia katika mchezo huo wakiwa wameachwa alama 15 na Tanzania Prisons walio na 44 kwenye msimamo wa ligi.   Wakati huo Mbeya City wao wamejikusanyia jumla ya pointi 29 pekee katika ...

Read More »

Serikali Yafafanua utakaotumika wa kupima watu UKIMWI kwenye Baa

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema upimaji wa Kifua Kikuu (TB) na UKIMWI kwenye baa hautakuwa wa lazima. Waziri wa Afya ameyasema hayo baada ya kuzuka hofu miongoni mwa wananchi ambapo baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakipotosha kuwa, upaji huo utafanywa kwa lazima. Ameyasema hay wakati akizungumza katika maadhimisho wa ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons