Daily Archives: May 14, 2018

Simba Watinga Bungeni, Wabunge Wawashangilia

Timu ya Simba wametinga Bungeni jijini Dodoma leo baada ya kupata mwaliko wa Spika Job Ndugai. Mwenyekiti wa Bunge, aliyekuwa akiongoza kikao cha leo, Najma Giga, Naibu Waziri wa Tamisemi, Joseph Kakunda ndiye alianzisha shangwe za kuwapokea Simba bungeni kabla hawajatambulishwa. Kakunda kabla ya kujibu swali bungeni, alisema, leo ameamka saa 10 alfajiri akijiandaa kujibu maswali lakini furaha ya ubingwa ...

Read More »

MTU NA MPENZI WAKE WANG’ATWA NA FISI KICHAKANI

Mtu na mpenzi wake , wakazi wa wilaya ya Igunga, Tabora wameng’atwa na fisi kichakani walipotaka kufanya Mapenzi. katika tukio hilo mwanamke Mwajuma Masanja (37) Mkazi wa kijiji cha Iduguta , alifariki baada ya kushambuliwa viabaya na fisiw huyo huku mpenzi wake , Shija Maneno (35) Akijeruhiwa vibaya wakati akimuokoa mpenzi wake. #TanzaniaDaima

Read More »

Lulu Abadilishiwa Adhabu, Sasa Atatumikia kifungo cha Nje

Hivi Punde: Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania. Magereza yaeleza kuwa, Lulu atatumikia kifungo cha nje kuanzia sasa

Read More »

Marekani Kufungua Ubalozi Mpya leo Mjini Jerusalem

Marekani itafunguq ubalozi wake mpya mjini Jerusalem hatua ambayo imesifiwa na Israel na kulaaniwa na Wapalestina ambao wanakusanyika kwa maandamano makubwa. Maafisa wa vyeo vya juu kutoka Marekani watahudhuria sherehe hiyo leo akiwemo binti ya Rais wa Marekani Donald Trump Ivanka na mumewe Jared Kushner. Wengi wa maafisa kutoka Muungano wa Ulaya hawatahudhuria. Uamuzi wa Trump wa kuhamisha ubalozi huo ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons