Daily Archives: May 16, 2018

YANGA YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI, YATOKA SARE NA RAYON SPORTS

Timu ya Yanga imeshinwa kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani kwenye michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika,  baada ya kutoka sare tasa ya bila kufungana na Rayon Sports ya Rwanda Katika mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Taifa, Yanga watajiraumu wenyewe baada ya kukosa nafasi nyingi za wazi. Kwa upande wa Rayon Sports wamepoteza nafasi mbili ambazo walifunga ...

Read More »

Kauli ya serikali kuhusu ajira za vijana waliopita JKT

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt Hussein Mwinyi amesema serikali inatarajia kuajiri wastani wa vijana 6,000 waliopitia JKT kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama. Aidha amesema kujiunga na JKT kwa kujitolea, hakutoi uhakika wa kijana aliyejitolea kuajiriwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Aidha, akijibu hoja zilizoibuka wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ...

Read More »

Ukidanganya Kwenye Mtandao Kenya Adhabu dolla 50,000 za Kimarekani

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameidhinisha Mswada wa Sheria za Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni wa 2018 kuwa Sheria, hatua itakayotoa adhabu kali kwa watakaopatikana na makossa ya mtandaoni. Sheria hiyo inatoa adhabu ya faini ya dola 50,000 za Marekani au kifungo cha miaka miwili jela, au adhabu zote mbili, kwa atakayepatikana na kosa la uenezaji wa habari za uzushi. ...

Read More »

PEP GUARDIOLA KOCHA BORA LIGI KUU UINGEREZA, AWABWAGA MAKOCHA WENZAKE

Kocha wa Mabingwa Ligi Kuu Uingereza, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu England kufuatia kuiwezesha Manchester City kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini humo na kuwashinda Makocha wenzake walikuwepo kwenye Kinyang’anyiro hicho ambao ni Roy Hogson wa Crystal Palace, Jurgen Klopp wa Liverpool, Chris Hughton wa Brighton, Rafael Benitez wa Newcastle United na Sean Dyche wa ...

Read More »

MCHEZO KATI YA SIMBA VS KAGERA SUGAR WABADILISHWA

Bodi ya Ligi kupitia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeufanyia mabadiliko mchezo namba 226 wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo awali ulipaswa kuchezwa Jumapili ya Mei 20 2018 lakini sasa umefanyiwa mabadiliko na utapigwa Jumamosi ya Mei 19 2018. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza majira ya saa 8 kamili za mchana ukienda sambamba ...

Read More »

Kim Jong-un atishia kufuta mkutano wake na Trump

  Korea Kaskazini imesema huenda ikaufuta mkutano kati ya kiongozi wake Kim Jong-un na Rais wa Marekani Donald Trump iwapo Marekani itaendelea kusisitiza kwamba taifa hilo la bara Asia ni lazima liharibu au kusalimisha silaha zake za nyuklia. Mkutano huo ambao umesubiriwa kwa hamu kati ya Bw Trump na Bw Kim unatarajiwa kufanyika mnamo 12 Juni. Hayo yamejiri baada ya ...

Read More »

KIKOSI CHA ARGENTINA KUELEKEA URUSI KWENYE KOMBE LA DUNIA HIKI HAPA

  Hiki hapa kikosi cha  wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina walioitwa na Kocha Jorge Sampaoli kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia inayoanza mwezi Juni 2018 nchini Russia. Makipa: Sergio Romero, Nahuel Guzman, Willy Caballero, Franco Armani Walinzi: Gabriel Mercado, Javier Mascherano, Nicolas Otamendi, Federico Fazio, Nicolas Tagliafico, Marcos Rojo, Marcos Acuna, Ramiro Funes Mori, Cristian Ansaldi, ...

Read More »

WAJEUMANIA WAKASILIKA WACHEZAJI WAO KUPIGA PICHA NA RAIS WA UTURUKI

Shirikisho la soka Ujerumani (DFB) limeshutumu wachezaji wake wa kimataifa Mesut Özil na Ilkay Gündogan kwa kupiga picha na rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan. Wachezaji hao wawili waliozaliwa Ujerumabni, wote wenye asili ya Kituruki, walimkabidhi Erdogan fulana zao walizozisaini katika hafla moja mjini London siku ya Jumapili. Gündogan aliandika: “kwa mtukufu rais wangu, kwa heshima kubwa.” Erdogan anafanya kampeni ...

Read More »

YANGA SC KUIVAA RAYON SPORT BILA MASTAA WAKE

Timu ya Yanga leo majira ya saa moja usiku kitashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa kuumana na Rayon Sport ya Rwanda katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, bila wachezaji wake nyota ambao ni  Amis Tambwe bado hajaimarika vizuri kiafya, Donald Ngoma,  Beno Kakolanya ambaye alijitonesha goti lake katika mechi ya ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Ibrahim Ajibu aliye na ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons