Wakenya waandamana dhidi ya rushwa Kenya baada ya ufichuzi wa uporaji mkubwa
Raia wa Kenya wanafanya maandamano makubwa katika miji mikubwa ya nchi hiyo kulaani ufisadi wa mabilioni ya dola katika serikali. Mijadala juu ya kashfa za Ufisadi imetawala mitandao mbali mbali ya kijamii kupitia mada: #TakeBackOurCountry, #STOPTheseTHIEVES, #SitasimamaMaovuYakitawala na #NotYetMadaraka. Katika kampeni hiyo inayoendeshwa kupitia mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Twitter Wakenya wanasema wamechoshwa…