Daily Archives: June 3, 2018

Mtibwa Waungana Na Simba Kimataifa

Mtibwa Sugar wameungana na Simba sc Kucheza Mashindano ya Kimataifa baada ya Jana kutangazwa rasmi kuwa mabingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Singida United katika mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Katika mchezo huo ulioanza kwa kasi huku Singida wakiongoza kumiliki mpira kwa kipindi cha kwanza ...

Read More »

JPM AWALILIA MAPACHA WALIOUNGANA “WALIKUWA NA NDOTO KUBWA”

Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa na kifo cha mabinti mapacha walioungana Maria na Consolata Mwakikuti waliofariki dunia jana jioni katika hospitali ya Mkoa wa Iringa.   Mhe. Rais Magufuli aliwatembelea Maria na Consolata walipokuwa wakipata matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es ...

Read More »

MAPACHA WALIONUGANA, MARIA NA CONSOLATA WAFARIKI DUNIA

Mapacha walioungana (Maria na Consolata) wamefariki dunia usiku huu wa Jumamosi Juni 2, 2018 katika hospitali ya Iringa walikokuwa wakitibiwa. Mapacha Hawa walifanikiwa kuanza masomo yao ya juu katika Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Ruco) cha mjini Iringa mwaka jana baada ya kufaulu vizuri masomo yao ya kidato cha sita. Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini mkoani Iringa, Richard Kasesela ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons