Balozi: Tanzania inapoteza mabilioni
Na Angela Kiwia Balozi John Chagama amesema Tanzania inapoteza mabilioni ya shilingi kutokana na viongozi wachache wenye uchu wa utajiri kuatamia fursa ya soko la mtandaoni. Mwaka 2012, Balozi Chagama na wenzake, walianzisha Kampuni ya Tanzania Commodity Exchange (TCX) iliyopaswa kufanya kazi ya ya biashara kupitia soko la mtandaoni, lakini kampuni hiyo inahujumiwa. “Mwaka 2012…