Daily Archives: June 7, 2018

Ridhiwani Kikwete Atoa neno Kifo cha Sum wa Ukweli

Kwenye ukurasa wake wa kijamii Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameonesha kuguswa na kifo cha Msanii wa Bongo fleva Sam wa Ukweli,na  kushindwa kujizuia na kuandiaka maneno yafuatayo “Innallillah Wainnaillah Rajuun, Nadhani sihitaji kusema mengi ila kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa mapenzi yake kwetu Binadamu na hasa kwako rafiki yangu Sam “Mwana Wa Ukae, Mzukulu wa Mwali Bonele Wa Kiwangwa”.Tangulia Rafiki ...

Read More »

Lipuli Fc Wamng’ang’ania Kocha wao Amri Saidi

Baada ya kutia kandarasi ya mwaka mmoja na Mbao FC, uongozi wa Lipuli wasema wanatambua kuwa kocha Amri Said ‘Stam’ bado ana mkataba na timu yao. Mwenyekiti wa Lipuli, Ramadhani Mahano, amefunguka na kusema wao wanatambua kuwa Stam ni kocha wao huku akisema hawajapata taarifa rasmi za kuondoka kwake. Wakati Stam akiondoka Lipuli, kocha huyo alieleza kuwa tayari ameshaagana na ...

Read More »

Salamba Kuanza kazi Simba leo

Mchezaji mpya aliyesajiliwa Simba, Adam Salamba, leo anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Kakamega HomeBoyz FC katika mashindano ya SportPesa Super Cup mjini Nakuru, Kenya. Salamba alishindwa kujiunga na Simba tangu mwanzo wa mashindano kutokana na kuelezwa kuwa alikuwa anakabiliwa na matatizo ya kifamilia. Jana usiku mchezaji huyo aliyesajiliwa kutoka Lipuli na kusaini mkataba wa miaka miwili, aliwasili ...

Read More »

TANZIA: Msanii Sam wa Ukweli Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu na mwili wake umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala.   Taarifa hiyo imethibitishwa na msambazaji wa nyimbo zake ambaye pia Meneja wa ‘Team Mtaa kwa Mtaa’, Amri the Business aliyeeleza kwa masikitiko ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons