June 11, 2018
NMB yakabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10 kwa serikali
Dodoma. Benki ya NMB jana ilikabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10.17 kwa serikali kutokana na faida iliyopatikana mwaka 2017. Pesa hizo ni sehemu ya jumla ya Shilingi Bilioni 32 ambazo ziliidhinishwa na mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa Benki ya NMB uliofanyika hivi karibuni Jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo, wanahisa waliidhinisha kutolewa…
UWEKEZAJI WENYE MTAZAMO ENDELEVU WA BIASHARA UTAFANIKISHA MPANGO WA KUJENGA TANZANIA YA VIWAND
Lisa akiwa (kushoto) akiwa na mwenzake katika mpango wa GMT, Raj Chandarana wakipanda mti wilayani Hai katika mradi wa mazingira wa TBL. Lisa (wa pili kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake wa TBL baada ya kushiriki katika mradi wa mazingira mkoani Kilimanjaro hivi karibuni “Wakati serikali ya Tanzania inakwenda kasi katika kutekeleza mpango…
MSANII WA DK. SHIKA ATOA VIDEO YA WIMBO
Msanii ambaye anasimamiwa na Dk. Shika A.KA mia 900 itapendeza, Godson ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Relax’ ambao amemshirikisha Beka Flavour, video imeongozwa na Kwetu Studio.
Ronaldo Kufungua Kombe la Dunia
Mcheza soka maarufu wa zamani Ronaldo De Lima wa Brazil, amepewa majukumu ya kuzindua rasmi fainali za Kombe la Dunia 2018 kwenye mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia Alhamisi ya Juni 14. Kwa mujibu wa FIFA Ronaldo atakuwa na jukumu la kupeleka uwanjani Kombe la Ubingwa wa Dunia ambalo…
Tuzo za Mo Awards Kutolewa leo
Tuzo za Simba Mo Awards zinafanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zitakuwa maalum kwa watu wa klabu hiyo waliofanikisha Simba kufanya vizuri kwa msimu wa 2017/18. Wanachama, viongozi, mashabiki na matawi ya klabu hiyo yatahusishwa katika ugawajwi wa tuzo hizo zitazofanyika leo kuanzia saa 12…
- 1
- 2