Mjumbe wa Nyumba 10 Amgaia elfu 10 Paul Makonda

Mjumbe wa Nyumba kumi kinondoni amgaia shillingi elfu 10, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda. Tukio hilo limetokea leo Kinondoni ambapo Rais Magufuli alitembelea kukagua ujenzi wa Msikiti unaojengwa kwa msaada wa Kiongozi wa Morocco. Mjumbe huyo wa nyumba kumi alipata nafasi ya kumueleza Rais kero inayomsumbua katika mtaa wake, kwamba…

Read More

Maisha ya Maria na Consolata

Baada ya kuwapo sintofahamu juu ya nini hasa kilichowua watoto mapacha Maria na Consolata, Gazeti la Uchunguzi la JAMHURI limeamua kutafuta ukweli wa chimbuko la kifo cha mapacha hawa, ambao hatimaye sasa umefahamika. Mapacha hao Maria na Consolata, walifariki dunia Jumamosi, Juni 2, 2018, saa 02:00 usiku katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa…

Read More

Tuzo za Mo Somba Awards 2018 Zafana

Sherehe za simba zilifanyika jana usiku na kushuhudia baadhi ya wachezaji kubuka na tuzo. tuzo hizo ziliandaliwa na tajiri Mohamed Dewiji na kuziita   Golikipa bora ni  Aishi manura Beki bora ni Erasto ambapo alikuwa anapambana na Shomali Kapombe na Mlipili Kiungo bora ni Shiza Kichuya  ambapo alikuwa anapambana na Mkude na Kotei Mfungaji Bora…

Read More