Daily Archives: June 13, 2018

Kombe la Dunia Kuanza kensho na Wenyeji Urusi Dhidi ya Saudi Arabia

Imebaki siku moja kuanza kwa Mashindano ya Kombe la dunia litakalo anza kule Urusi kesho Alhamisi tarehe 14 kati ya Wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia. Timu zipo 32 ambazo ni hizi hapa Kundi A: Russia, Saudi Arabia, Egypt na Uruguay Kundi B Morocco, Iran, Portugal na Spain Kundi C France, Australia, Peru na Denmark Kundi D Argentina, Iceland, Croatia, ...

Read More »

Tusiruhusu migogoro ya kidini

Ni wiki kadhaa sasa sakata la usajili wa taasisi za dini limekuwa katika vichwa vya habari vya magazeti, huku serikali ikionesha udhaifu uliopo katika baadhi ya taasisi hizo, huku zenyewe zikikiri udhaifu na kuahidi kurekebisha. Wakati hayo yakiendelea mwishoni mwa wiki iliyopita, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba amejitokeza hadharani, kwanza kukana barua iliyosambaa mitandaoni ikiwa ...

Read More »

Waziri Mkuu ‘alinunua’ shule kihalali – Meneja

Na Waandishi Wetu, Lindi na Dodoma   Familia ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ilifuata taratibu zote halali katika kununua Shule ya Sekondari ya Nyangao, iliyopo mkoani Lindi, JAMHURI limefahamishwa. Meneja wa Shule ya Nyangao, Mathias Mkali ameliambia JAMHURI kuwa licha ya taratibu zote kufuatwa aliyenunua shule si Waziri Mkuu Majaliwa, bali aliyenunua ni mkewe Mary Benjamin Mbawala kwa ...

Read More »

LEO NI SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI DUNIANI

Leo June 13 ni siku ya Uelewa wa watu wenye Ualbino Duniani ambapo kwa Tanzania kitaifa inafanyika mkoani Simiyu. Pamoja na kampeni mbalimbali jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi bado inaishi kwa mashaka kutokana vitendo vya imani potofu ambavyo vinaendelea kuripotiwa maeneo mbalimbali vikilenga watu wa jamii hiyo. Watu wenye ulemavu kwa muda mrefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali ...

Read More »

WANUNUZI WA PAMBA WAISHUKURU SERIKALI

WANUNUZI wa zao la pamba wameishukuru Serikari kwa kuweka mfumo mzuri wa ununuzi wa zao hilo, ambalo kwa mwaka huu linauzwa kupitia katika minada inayosimamiwa na Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS).   Hata hivyo wanunuzi hao wameiomba Serikali kuziwezesha AMCOS kuwa na maghala makubwa na ya kisasa ya kuhifadhia pamba, lengo likiwa ni kuhakikisha pamba inahifadhiwa kwenye maeneo salama ...

Read More »

KOCHA WA TAIFA WA HISPANIA ACHUKUA MIKOBA YA ZIDANE REAL MADRIDI

Kocha Julen Lopetegui ametangazwa kuchukua mikoba ya Kocha Zinedine Zidane aliyeamua kuachia ngazi. Lopetegui mwenye umri wa miaka 51 kwa sasa anainoa timu ya taifa ya Hispania inayoshiriki Kombe la Dunia. Kocha huyo kijana ataanza kazi mara moja baada ya michuano ya Kombe la Dunia. Baada ya kujiuzulu kwa Zidane Mei 31, mwaka huu kulikuwa na majina ya makocha wengi ...

Read More »

Mavugo Afunguka Mstakabali wake na Klabu ya Simba

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, amefunguka na kueleza kuwa mkataba wake na klabu yake unamalizika Julai 7 2018. Wakati mkataba wake ukielekea kumalizika, Mavugo amesema Yanga ni moja ya timu zinazomuwinda hivi sasa kwa ajili ya kukiboresha kikosi chake. Mbali na kuhusishwa na Ssimba, Mavugo pia amesema ataendelea kuitumikia klabu hiyo kutokana na namna ilivyomlea tangu ajiunge na wekundu ...

Read More »

Kim Jong-un na Trump waalika kwenye Nchi Zao

Shirika la habari la serikali nchini Korea Kaskazini limesema kuwa kiongozi wa taifa hilo Kim Jong Un amekubali mwaliko wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kufika Washington. Kiongozi huyo alipewa mwaliko wakati wa mkutano wa historia baina ya wawili hao nchini Singapore Jumanne. Kim pia alimwalika pia Trump kutembelea Pyongyang. “Viongozi ao wawili wakuu walikubali mwaliko wa kila mmoja,” ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons