MAKAMU RAIS ZFA PEMBA AACHIA NGAZI

MAKAMU wa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) Pemba, Ali Mohammed Ali, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo. Makamu huyo ameungana na Rais wa chama hicho, Ravia Idarous Faina, Makamu wa Rais Unguja, Mzee Zamu Ali na Abdul Ghani Msoma. Akizungumza na waandishi wa habari Kisiwani Pemba, makamu huyo alisema hatua hiyo imekuja baada ya…

Read More