Muda wa usajili Vyombo vya Habari Mtandaoni waongezwa

Mamlaka ya kudhibiti Mawasiliano nchini, TCRA imeongeza muda wa usijili kwa wamiliki wa vyombo vya habari mtandaoni {Blog, Radio au TV} ambao bado hawajapata leseni ya utoaji huduma hiyo kuwa tayari wawe wamekamilisha usajili huo mpaka ifikiapo June, 30, 2018. Katika Taarifa iliyotolewa na TCRA imesema ifikapo tarehe hiyo wale ambao bado watakuwa hawana leseni…

Read More

Abass Tarimba Ataja Mikakati ya Kuivusha Yanga

Wakati presha ya usajili wa wachezaji wapya kwa klabu za hapa Tanzania ukiendelea kushika kasi, Mwenyekiti wa Kamati Maluum ya kuivusha Yanga wakati wa mpito, Abass Tarimba, amesema jukumu kubwa la Kamati hiyo ni kushauri. Tarimba ameeleza kazi hiyo wanaifanya kwa kushirikiana na Kamati ya Utendani ndani ya klabu pamoja na ile ya usajili ili…

Read More

Ndemla Kuondoka Simba Sc

Tatizo siyo fedha, kwani Mohammed Dewji ‘Mo’ anaweza kuzitoa isipokuwa masharti magumu aliyoipa Simba ndiyo sababu ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Ndemla asuesue kusaini mkataba mpya wa kuendela kubaki kikosini humo. Simba na kiungo huyo hivi karibuni wameshindwa kufikia makubaliano ya kusaini mkataba wa miaka miwili utakaomuwezesha kuendelea kuichezea Simba. Awali, ilielezwa kuwa…

Read More