ZANZIBAR VIJANA WAHAMASISHWA KUOA WAJANE

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Asha Suleiman Iddi amesema wajane wengi wanaweza kuondokana na changamoto zinazowakabili iwapo vijana wataamua kuwaoa. Iddi alisema hayo katika utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mashindano ya kaswida yaliyoshirikisha madrasa 13 za Mkoa wa Mjini Magharibi. Alisema wakati umefika kwa wanaume kuona umuhimu wa kuoa…

Read More

Simba Sc Kucheza Kagame Bila Mastaa wake

SIMBA imamua kuwapumzisha wachezaji wake mastaa wa kikosi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa mastaa ambao wameachwa katika mashindano hayo ni Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Jonas Mkude. Michuano hiyo imepangwa kuanza kutimua vumbi Juni 29, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa na Azam Complex jijini…

Read More