Brazili Yaitandika Costa Rica Dakika zanyongeza

Kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kimesafisha makosa yake iliyoyaonyesha katika mchezo wa kwanza dhidi ya Switzerland kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Costa Rica leo. Mabao ya Brazil yamewekwa kimiani katika dakika za nyongeza kuelekea mchezo kumalizika kupitia kwa Philippe Countinho na Neymar Jr. Ushindi huo umemfanya Neymar ashindwe kuamini…

Read More

Peter Msigwa Asema Wabunge wa CCM Wanampaka Mafuta kwa Mgongo wa Chupa Rais Magufuli

Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya serikali 2018 / 2019 iliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango, amemvaa waziri huyo wa fedha, na kumwambia kwamba alipoanza kuhutubia alianza kwa nadharia, na hakusikiliza kuhusu kodi ambazo ametoa zingeleta matatizo kwenye uchumi…

Read More

RC Katavi awaita wawekezaji Kiwanja cha Ndege Mpanda

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali mstaafu Raphael Muhuga amewaita wawekezaji wa usafiri wa anga kuwekeza kwenye Kiwanja cha Ndege cha Mpanda, kutokana na kuwa na miundombinu mizuri. Meja Jenerali mstaafu Muhuga amesema hayo kwa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), iliyofanya ziara kwenye kiwanja hicho, ambapo ameihakikishia…

Read More

Serikali haitafuta tozo daraja la Kigamboni

Serikali imesema kuwa haitafuta tozo inayotozwa katika daraja la Kigamboni kwa kuwa fedha hizo zinatumika kulipa sehemu ya deni la mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Juni 22,2018 na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye ulemavu Antony Mavunde akisema kwa sasa utaratibu unaandaliwa…

Read More