Belgium v England: Romelu Lukaku kuikosa mechi muhimu Kombe la Dunia

Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku anatarajiwa kuikosa mechi muhimu katika Kombe la Dunia dhidi ya England Alhamisi. Mechi hiyo itakayochezewa mjini Kaliningrad inatarajiwa kuamua nani atamalizakileleni katika Kundi G. Mchezo huo utaanza saa tatu saa za Afrika Mashariki. Mshambuliaji huyo wa Manchester United mwenye umri wa miaka 25 aliumia kwenye kifundo cha mguu wakati wa…

Read More