Monthly Archives: July 2018

Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na meneja wa zamani wa England -Eriksson

Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa England Sven-Goran Eriksson kuchukua usukani wa kuifunza timu ya taifa hilo Indomitable Lions. Eriksson mwenye umri wa miaka , 70, raia wa Sweden alikuwa na mazungumzo mazuri na maafisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Cameroon (Fecafoot) mjini Yaoundé wiki iliyopita waliokuwa wakitaka kuziba pengo lililoachwa baada ya kuondoka kwa ...

Read More »

Lugumi Aitikia Wito wa Kangi Lugola

Mmiliki wa kampuni ya Lugumi, Said Lugumi leo asubuhi Jumanne Julai 31, 2018 amejisalimisha katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam kuitikia wito wa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola. Julai 21, 2018 Lugola alimpa siku 10 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro kumfikisha Lugumi ofisini kwake ifikapo leo, saa 2 asubuhi. ...

Read More »

Mbunge wa CHADEMA Jimboni kwa Lowassa ajiuzulu, arudi CCM

Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi Rais Magufuli. Kalanga amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. “Siasa za uhasama, malumbano na chuki zimeniondoa CHADEMA. Nimeamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa ...

Read More »

Rais Shein aihakikishia Malawi ushirikiano

ZANZIBAR Na Mwandishi Maalumu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema uhusiano na ushirikiano kati ya Malawi na Zanzibar una historia ya muda mrefu, hivyo kuna haja ya kuuendeleza na kushirikiana katika sekta za maendeleo ikiwamo utalii. Dk. Shein amesema hayo Ikulu mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki alipozungumza na Balozi wa Malawi nchini ...

Read More »

Madrid, Ufaransa kidedea timu ya FIFA

Mabingwa wa Dunia, timu ya taifa ya Ufaransa, wameongoza kutoa wachezaji wengi katika orodha ya wachezaji bora wa (FIFA) wa kiume, huku katika nyanja ya klabu, mabingwa wa Ulaya (Champions League) Klabu ya Real Madrid wakiongoza kutoa wachezaji wengi. Mafanikio ya uwemo wa wachezaji katika orodha hii kumechangiwa na mafanikio yao waliyopata kutoka katika michuano ya Champions League na Kombe ...

Read More »

Ndugu Rais wananchi wanataka maziwa na asali

Ndugu Rais hii ni sauti ya mtu aliaye jangwani. Wahurumieni masikini na wanyonge wa nchi hii. Wahurumieni watu wa Mungu hawa. Baba, Watanzania wameteseka vya kutosha. Kwanini masikini wateseke katika nchi yao ambayo Mwenyezi Mungu aliipendelea kwa kuikirimu kila aina ya utajiri na rasilimali kupita nchi nyingine zote duniani? Wananchi wanataka maziwa na asali walivyovifaidi kabla yetu. Kiburi chao baadhi ...

Read More »

Waitara ameumiza watoto 30,000

Mara mbili, katika matoleo Na. 313 na Na. 331, nimeandika makala yenye maudhui ya aina hii ninayoandika leo. Makala ya kwanza niliandika: “Tusiendekeze usaliti huu”; na kwenye makala ya pili nilihoji: “Nani ana hakika Mtulia atatulia, hatahama tena?” Nikasema yamekuwapo matukio mengi ya wanasiasa kuvihama vyao na kujiunga na vyama vingine vya siasa. Wengi ni wale wanaotoka vyama vya upinzani ...

Read More »

Tufute mfumo wa vyama vingi

Balile

Na Deodatus Balile Ni wiki mbili sasa sijawa katika safu hii kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu. Naomba uniwie radhi msomaji. Katika ‘Sitanii’ mbili zilizotangulia, niliahidi kuzungumzia mbinu bora za kufanya biashara na nikagusia wenzetu wa Morocco walivyogeuza mwelekeo kwa kuruhusu uwekezaji wa kuanzia dola 15,000 (yaani Sh milioni 35 hivi) na jinsi walivyoweka mazingira wezeshi katika biashara. ...

Read More »

JPM ainoa safu yake

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI MAALUMU   Julai 28, mwaka huu, Rais John Magufuli, alifanya uteuzi na uhamisho wa viongozi wa mikoa, wizara na wilaya. Amefanya mabadiliko hayo baada ya baadhi ya viongozi kustaafu, kuteuliwa kushika nafasi nyingine na wengine kuachwa.    Wakuu wa Mikoa   Ally Salum Hapi (aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni) ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa ...

Read More »

Iran kumchapa Trump

*Rais, majenerali wawili, Ayatollah wampa onyo kali *Wajipanga kwa vita kuiteketeza Marekani kila kona *Maninja waanza mazoezi jangwani, wadai wao si Korea *Uingereza, Ufaransa, China, Urusi, Ujerumani wamgomea TEHERAN, IRAN Wasiwasi umetanda duniani baada ya Jeshi la Iran kumpa onyo kali Rais Donald Trump kuwa akianzisha vita na taifa hilo Marekani itapotea katika uso wa dunia. Kamanda wa Vikosi Maalumu, ...

Read More »

JWTZ watanda Mirerani

*Sasa hakuna kutorosha jiwe nje ya uzio *Wazalendo furaha, wakwepa kodi kilio SIMANJIRO NA MWANDISHI WETU Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokewa kwa shangwe kwenye dhima yake mpya ya kulinda migodi ya tanzanite, Mirerani mkoani Manyara. Uwepo wa askari wa JWTZ wenye silaha na magari ya deraya katika eneo hilo, ni utekelezaji wa maagizo ya Amiri Jeshi ...

Read More »

TFF YAINGIA MKATABA NA BENKI YA KCB KUDHAMINI LIGI KUU BARA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) na Benki ya KCB wamesaini mkataba wa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2018/19 wenye thamani ya shilingi Milioni 420. TFF wamefikia makubaliano hayo KCB baada ya wadau mbalimbali kuanza kuhoji juu ya udhami wa ligi hiyo kutokana na kampuni ya Vodacom ambao ndiyo wadhamini wakuu mkataba wake kumalizika. Licha ya kusaini ...

Read More »

Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya Wapya

  Rais Magufuli amemteua Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Aidha, amemteua David Kafulila kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Rais Magufuli amemteua Jerry Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na Patrobas Katambi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma. Rais Magufuli amemteua Ndg. Moses Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na Ndg. Lengay Ole Sabaya ...

Read More »

Mbunge WAITARA wa CHADEMA Ahamia CCM

MBUNGE wa Chadema Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Waitara amesema sababu ni kutofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe baada ya kumhoji kwa nini chama hicho hakifanyi uchaguzi wa mwenyetiki wa chama hicho Taifa.

Read More »

KOCHA YANGA ATIMKIA KENYA

Kocha aliyekuja nchini takribani siku mbili zilizopita, Razaq Siwa, amerejea kwao Kenya bila kufahamu hatua ipi ya mazungumzo wamefikia na Yanga. Siwa ambaye ni kocha wa makipa, aliwasili nchini kisha kupokelewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga, Hussein Nyika, kwa ajili ya mazungumzo ya kuanza kazi na klabu hiyo. Lakini mpaka sasa tangu atue nchini, Siwa amekwea pipa na ...

Read More »

SAMATTA NA LEVANTE WAFIKIA HATUA HII, MENEJA WAKE AFUNGUKA

Baada ya tetesi kubwa za Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ubelgiji kuhitajika Levante, kuzidi kushika kazi, Meneja wa mchezaji huyo, Jamal Kisongo amesema mambo bado hayajaa sawa. Kisongo amefunguka na kueleza mazungumzo baina ya Levante na mabosi wa Samatta bado hayajaiva kutokana na klabu hiyo kutuma ofa ndogo ya euro milioni 4 pekee. Meneja huyo ...

Read More »

MGOGORO WA YANGA, WAMPELEKA AKILIMALI IKULU KWA MAGUFULI

Kutokana na hali ya Yanga kuwa katika kipindi cha mpito hivi sasa, imeelezwa kuwa Katibu wa Baraza la Wazee ndani ya klabu hiyo, Ibrahim Akilimali, amepanga kufika Ikulu kwa Rais John Pombe Magufuli. Taarifa imeeleza kuwa Akilimali amefunguka na kusema njia pekee ya Yanga kuepukana na hali iliyonayo kwa sasa ni kupata msaada wa Rais Magufuli ili kuikomboa iweze kurejea ...

Read More »

UTATA WAIBUKA BETHIDEI YA TIFFAH

Wakati mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitangaza maandalizi ya kufuru ya bethidei ya mwanaye Tiffah (pichani), utata umeibuka baada ya upande wa pili wa mzazi mwenziye msanii huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuipotezea. Mtu wa karibu na familia ya Diamond ameeleza kuwa, Zari hajakubaliana na ‘mbwembwe’ zinazoandaliwa na msanii huyo kwa ajili ya shughuli ...

Read More »

BAADA YA KUKABIDHIWA KITI CHA MKWASA, KAAYA AJA NA OMBI MOJA KWA WANAYANGA

Baada ya kuchaguliwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga akichukua nafasi ya Charles Mkwasa, Omary Kaaya, ameibuka na kueleza jambo la kwanza ambalo Wanayanga kwa ujumla wanapaswa kulitilia nguvu. Kaaya amesema ili Yanga iweze kusonga mbele cha kwanza inabidi waunganike wawe wamoja ili kuijenga klabu iweze kusimama vizuri ili iweze kuzidi kutengeneza heshima kubwa nchini na nje ya Tanzania. Kaaya ...

Read More »

Malcom akamilisha uhamisho wa £36.5m kutoka Bordeaux kuelekea Barcelona

Winga wa Brazil Malcom amekamilisha uhamisho wa kitita cha £36.5m kwa kujiunga na Barcelona kutoka Bordeaux. Mkataba huo ulitangazwa mara ya kwanza siku ya Jumanne baada ya mabingwa hao wa Uhispania kuwashinda Roma katika kupata saini ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21. “Hii ni ndoto ya utotoni ambayo imetimia”, alisema Malcom, ambaye bado hajaichezea timu ya taifa ya ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons