ulius Mtatiro Mwenyekiti Kamati ya Uongozi CUF anashikiliwa na Polisi

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF Julius Mtatiro anashikiliwa na Polisi katika kituo Kikuu cha Polisi tangu jana July 5, 2018. Kwa muhibu wa alichoandika Zitto Kabwe katika Twitter yake na Facebook ni kuwa anahisi anatuhumiwa kwa kusambaza ujumbe uliomkashfu Rais Magufuli kupitia Facebook uliosema “Rais kitu gani bwana?” Nanukuu alichoandika Zitto Kabwe “Juliaus …

Read More