JKT ni tunu, tuidumishe

Miaka 55 iliyopita, tarehe kama ya leo, yaani Julai 10, 1963 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lilizaliwa. Kuanzishwa kwake kulikuwa ni utekelezaji wa Azimio la Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Aprili 19, mwaka huo chini ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Wazo la kuwa na JKT lilitokana na mapendekezo ya Mkutano Mkuu…

Read More