Mkanganyiko rangi za mapaa Dodoma
Uamuzi wa Baraza la Madiwani wa Jiji la Dodoma wa kutofautisha kwa rangi mapaa ya nyumba kwenye kata zote 41 umepokewa na wananchi kwa mitazamo tofauti. Uamuzi huo ulifikiwa kwenye kikao cha robo ya pili ya mwaka, Januari, mwaka huu na utekelezaji wake ulipaswa uanze Machi, mwaka huu. Baadhi ya wananchi wanalalamikia ukubwa wa gharama…