TAZAMA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam. Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 72,866 sawa na 95.52% wamefaulu katika daraja la kwanza hadi…

Read More

CHIRWA ASAJILIWA DARAJA LA PILI MISRI

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club. MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi amesaini mkataba na Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club ya nchini Misri.   Mshambuliaji huyo amejiunga na timu hiyo baada ya mkataba wake wa miaka…

Read More