Tarime wazidi kuumana

DC, Mwenyekiti CCM Mkoa hapatoshi Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa yaketi TARIME NA MWANDISHI WETU Hali si shwari kati ya Mkuu wa Wilaya (DC) ya Tarime mkoani Mara, Glorious Luoga, na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samuel Kiboye (Namba Tatu). Kumekuwa na kurushiana maneno makali kati ya viongozi hao, na sasa…

Read More

Ndugu Rais wastaafu walichotuambia tumekielewa?

Ndugu Rais, mwanadamu mambo yake yanapomwendea kwa ufanisi mkubwa haombi ushauri. Anaomba ushauri yule ambaye kuendelea kwake kunampatia wasiwasi. Ndiyo kusema kama tumekubali kuwa tunahitaji ushauri kutoka kwa viongozi wetu wakuu wastaafu sasa, tunakiri kuwa kuna tatizo katika kuongoza au kutawala kwetu. Tukishakiri hivyo, tuwe tayari kutubu. Baadhi ya viongozi wakuu wastaafu walionekana dhahiri kuwa…

Read More