Diamond azuiwa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere

 Diamond Platnumz na msafara wake walikuwa katika hali ya taharuki kwa saa kadhaa baada ya kuzuiwa na Baraza la sanaa nchini Tanzania, BASATA walipokuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenda kutumbuiza nje ya nchi kwa kuwa hakuwa na idhini (kibali ) cha Baraza hilo. Akizungumza na Shirika la Habari…

Read More

Watu 20 wauawa Baada ya Bwawa Kupasuka Laos

Waokoaji wameanza harakati za uokoaji wa manusura baada ya bwawa kupasuka siku ya Jumatatu jioni , na kusababisha mafuriko yaliowauawa watu 20 katika vijiji Takriban watu 100 wametoweka na maelfu kupoteza makao yao. Mamlaka katika mkoa wa Attapeu imekuwa ikitumia ndege aina ya helikopta na maboti ili kujaribu kuwaokoa wanakijiji waliokwama. Bwawa hilo lililopasuka ni…

Read More