Monthly Archives: August 2018

Effective Plans Of brightbrides.org review – For Adults

International Dating – the Conspiracy In some instances women were hired dependent on the physical appearance, with an concentration put on youth and virginity. If a person isn’t interested in you then you should learn to proceed. Men posing as women of all ages run most of the cons. There are a lot of women in order to meet and ...

Read More »

Tamwa waandaa soko la wazi kuhamasisha wajasiriamali wanawake – Habari

Chama cha Waandishi wa Habari wanawake Tanzania (Tamwa) wameandaa soko la wazi litakalofanyika Dunga katika viwanja vya ofisi za Halmashauri, Jumamosi Septemba Mosi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Agosti 30 na Mkurugenzi wa TAMWA Zanzibar, Mzuri Issa imesema soko hilo la wazi ni la tatu na litakuwa likifanyika kila mwisho ...

Read More »

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri , kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa TAMISEMI, Mkapa House leo jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (kushoto) akizungumza na ...

Read More »

MAAMUZI YA KOCHA STARS BAADA YA KUWATOSA WACHEZAJI WA SIMBA

KOCHA wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, M-Cameroon, Emmanuel Amunike, amekutana na wachezaji Simba aliowaondoa kwenye kikosi chake baada ya kuchelewa kuripoti kambini. Baada ya kukutana nao, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo ametoa taarifa kuwa suala hilo limekwisha na kwamba hakuna kitakachozuia nyota hao kuitwa tena Stars kama tu wataonyesha kiwango kizuri kwenye klabu yao. ...

Read More »

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo kile kinachodaiwa kwamba mwanafunzi mwenzao kupigwa na mwalimu hadi kupoteza fahamu.   Mwanafunzi huyo, Jonathan Mkono anadaiwa alipigwa na Mwalimu waliyemtaja kwa jina moja la Lawi jana Agosti 30, 2018 kwa kosa la kuingia bwenini ...

Read More »

Comparing Immediate Secrets For Rose-bride.com

The Benefits of Interracial Dating Free online dating sites bring an entire bunch of individuals to a distinct digital area exactly where women and men be able to understand the other in a new and a distinctive way. Properly, they have persisted for some time and have developed correct along with the Internet. There are several interracial dating sites making ...

Read More »

Bobi Wine, Wenzake 30 Kurejeshwa Mahakamani Leo

MBUNGE  na mwanamuziki, Bobi Wine, leo anatarajiwa kurejea mahakamani mjini Gulu, kaskazini mwa Uganda anapokabiliwa na mashtaka ya uhaini. Bobi Wine na washukiwa wegine 32 wanatarajiwa kusomewa mashtaka yao kisha kesi hiyo kuhamishiwa Mahakama Kuu. Mahakama ya mwanzo ya Gulu haina mamlaka ya kisheria kuendesha kesi za uhaini. Baadhi ya washitakiwa wanaendelea kupata matibabu hospitalini na huenda wakashindwa kuhudhuria mahakamani ...

Read More »

Sheria vyama vya siasa ibadilishwe

Mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini ulirejeshwa miongo miwili na nusu iliyopita, katika safari hiyo kumekuwa na malalamiko lakini pia maboresho ili kulinda tunu za taifa na kudumisha mshikamano na umoja wa kitaifa. Agosti mwaka jana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilivitaka vyama vya siasa na vya kiraia kuwasilisha mapendekezo kuhusu mabadiliko ya sheria mpya ya ...

Read More »

Udokozi unatuangusha Watanzania

Udokozi unatuangusha Watanzania Nimemwona na kumsikia Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, wa kigeni akiendesha mtambo kwenye ujenzi wa barabara moja wil Muro, anasema si sahihi kwa mgeni kufanya kazi hiyo ilhali wapo W wenye sifa na ujuzi. Amenikumbusha kisa fulani cha raia wa China waliowapiga vibarua baada ya kuibiwa mafuta kwenye malori. Naungana na Muro kwamba zipo kazi ...

Read More »

Kiama kipya *Sheria kuwabana wahama vyama yaiva,

Kiama kipya *Sheria kuwabana wahama vyama yaiva, wengi kulia *Wanaohamia CCM waambiwa wanaingia kwenye safina *Watabanwa wasihamie upinzani uchaguzi mwaka 2020 NA MWANDISHI WETU Wanasiasa wanaohama vyama wanakabiliwa na mtego mwingine mpya, JAMHURI limethibitishiwa. Mpango huo uko kwenye hatua za awali ambapo tayari serikali imeanza mchakato wa kukusanya maoni ya wadau ili kufanya mabadiliko kwenye Sheria ya Vyama vya Siasa. ...

Read More »

Fedha za Uchaguzi Mkuu zawaponza

MOSHI NA CHARLES NDAGULLA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro imewafikisha mahakamani mtumishi wa halmashauri na mfanyabiashara wakituhumiwa kufuja fedha za Uchaguzi Mkuu mwaka 2015. Safari hii waliofikishwa mahakamani ni Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai, Edward Ntakiliho, akikabiliwa na mashtaka manne. Kati ya mashtaka hayo, matatu ni ya kughushi ...

Read More »

Rais Magufuli: Dada Monica alikuwa na moyo wa kipekee

Na Mwandishi Wetu, Chato Dada wa Rais Dk. John Magufuli, Monica Joseph Magufuli, aliyefariki dunia wiki iliyopita katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza amezikwa katika makaburi ya familia yaliyopo katika Kijiji cha Mlimani wilayani Chato, Geita. Mazishi hayo yalitanguliwa na misa takatifu iliyoongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge/Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi, aliyeambatana na maaskofu wengine saba. Pamoja na ...

Read More »

Unaikumbuka ‘Whisky Soda’ ya Bembeya Jazz?

  Na Moshy Kiyungi, Tabora Wimbo uliojizolea umaarufu mkubwa miaka ya nyuma ulikuwa wa ‘Whisky Soda’. Hapana shaka wenzangu wenye umri mkubwa watakuwa wanaukumbuka wimbo huo uliopigwa katika mtindo wa aina yake. Hiyo ilikuwa ni kazi nzuri ya bendi ya Bembeya Jazz kutoka nchini Guinea, ambao ulipokuwa ukipigwa katika redio yoyote, watu walikuwa wakiufurahia kusikia sauti ya maneno yasiyoeleweka ya ...

Read More »

Tamu, chungu ya Magufuli

Na Deodatus Balile Leo zimepita wiki mbili bila kuandika katika safu hii. Makala yangu ya mwisho niliahidi kuandika yaliyojiri katika safari ya mwisho niliyokwenda Mwiruruma, Bunda kumzika Comrade Shadrack Sagati (Mungu ailaze mahala pema peponi roho yake). Sentensi ya mwisho katika makala yangu ilisema: “Olwo mumywanyi wawe kufa afelwa.” Hii ina maana, kuliko rafiki yako kufariki dunia, ni bora afiwe. ...

Read More »

Hongera Hospitali ya Sinza Palestina

Wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ndivyo Mpita Njia (MN) anavyoweza kusema baada ya kupata huduma katika Hospitali ya Sinza (Sinza Palestina). Tangu zama za Awamu ya Pili ya uongozi wa taifa letu, Mpita Njia amekuwa mgumu kuziamini huduma zinazotolewa kwenye hospitali za umma. Enzi zake, wakati wa Mzee Kifimbo, Mpita Njia anakumbuka namna wagonjwa walivyodeka. Walitibiwa bure. Waliolazwa ...

Read More »

Root Criteria Of Asian singles – A Closer Look

Asian kitchenware Dating Sites – 4 Websites To Meet Asian Singles Online dating an Asian woman can appear harmful for those only comfortable with internet dating among their own ethnicity, nevertheless it doesn’t need to be. Relating to another person, regardless of their particular gender or background, is actually subject to know-how and understanding. Even some of the most thick-headed ...

Read More »

MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (35)

Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Watu wanaokuzunguka ni sababu ya mafanikio. “Unakuwa na kama watu watano ambao unatumia muda mwingi ukiwa nao. Wachague kwa uangalifu, ” alisema Jim Rohn. Mtazamo chanya unaambukiza. Mafanikio yanaambukiza. Mark Ambrose alisema: “Nionyeshe rafiki zako nitakuonyesha wakati wako ujao.” Ukizungukwa na watu waliofanikiwa, kesho yako itakuwa ya mafanikio. “Unahitaji kujichanganya na watu ambao wanakuhamasisha, watu ...

Read More »

Sasa Trump hataki maziwa ya mama

Katika enzi hizi,miongoni mwa viongozi wanaoendela kushangaza dunia kwa uamuzi na matamshi yake ni pamoja na Rais Donald Trump wa Marekani. Na siyo kwa masuala hasi pekee. Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kukaa meza moja ya majadiliano na kiongozi wa Korea ya Kaskazini, baada ya kukutana na kiongozi wa Korea Kim Jong-un jijini Singapore Juni, mwaka huu. Hata ...

Read More »

IGP anzisha kampeni ajali za barabarani

Mhariri salamu, Nimeamua kuandika barua hii kwako Inspekta Jenerali wa Polisi wa Tanzania (IGP) ikufikie kupitia Gazeti la JAMHURI, nikiwa raia wa Tanzania na mdau wa usalama barabarani, nimeona nitoe mchango wangu wa mawazo katika kupambana na ajali za barabarani. Nikiwa mwalimu wa somo la Uraia na mdau wa masuala ya usalama barabarani, napendekeza kuanzishwa kwa kampeni ya kitaifa ya ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons