Daily Archives: August 1, 2018

Jean Pierre Bemba arudi nyumbani DRC baada ya muongo mmoja

Kiongozi wa upinzani nchini Kongo, Jean Pierre Bemba amerudi nyumbani leo, baada ya kukaa kwa takribani muongo mmoja akiwa kifungoni na nje ya nchi ya Kongo. Bemba alifutiwa mashataka hivi karibuni na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ICC, aidha ameonesha wazi nia yake ya kugombea Urais nchini Demokrasia ya Kongo. Alishindwa katika uchaguzi wa mwaka 2006 dhidi ya ...

Read More »

Mkawas Akimbizwa India

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amesafiri kuelekea India kwa ajili ya matibabu. Taarifa ambazo imezipata Saleh Jembe hivi punde ni kuwa, Mkwasa amesafirishwa kuelekea nchini huko kutokana na matatizo ya kiafya ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu. Kupitia akaunti ya Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, kwenye Instagram, ameandika kumtakia kheri Mkwasa katika safari yake ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons