BAD NEWS: Gari la Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla limepata ajali

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla amepata ajali katika eneo la Magugu mkoani Manyara. Waziri Kigwangalla amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake, huku mwanahabari Hamza Temba akifariki dunia. Waziri Kigwangalla alikuwa katika ziara ya kikazi ambapo alikuwa akikagua utendaji kazi wa watendaji na mamlaka zilizopo chini yake pamoja na mapori mbalimbali nchini. Kamanda…

Read More

ALIKIBA AANZA KAZI COASTAL UNION

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Costal Union ya Tanga, Ali Kiba, ameanza kujinoa na wachezaji wa kikosi hicho huko Tanga tayari kwa msimu mpya wa ligi utakaoanza Agosti 22 2018. Kiba ambaye pia ni Msanii wa Kimataifa kupitia Muziki wa kizazi kipya, ameanza kambi hiyo baada ya kujiunga na Coastal akisaini mkataba wa mwaka mmoja….

Read More