ROMA, STAMINA WAITWA BASATA

ZIKIWA zimepita siku tatu tangu wakali wawili wa hip hop Bongo wanaounda kundi la ROSTAM, Roma Mkatoliki na Stamina kuachia wimbo wao mpya wa ‘PARAPANDA’ wakivaa uhusika wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Kingunge Ngombaremwiru, wawili hao wameitwa katika ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo Agosti 6, 2018 kupigwa…

Read More

ESTHER MATIKO APEWA ONYO MAHAKAMANI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Matiko, kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake. Onyo hilo limetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, katika kesi ya kufanya maandamano yasiyo halali inayowakabili viongozi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo mwenyekiti wake,  Freeman Mbowe. Kabla ya kutolewa onyo hilo,…

Read More

Mbunge CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Rushwa

MBUNGE wa Kishapu Mkoani Shinyanga (CCM), Suleiman Nchambi na viongozi watatu wa mgodi wa Stamigold uliyopo Tulawaka wilayani Biharamulo Kagera, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za rushwa. Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya ya Biharamulo, Hassan Mosi amesema mbunge huyo na wenzake walikamatwa na kuwekwa rumande katika gereza…

Read More