Tangazo la NEC lahitimisha udiwani wa Manji

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa udiwani wa kata 21 ikiwamo ya Mbagala Kuu katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, jambo linalohitimisha udiwani wa mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Athuman Kihamia, juzi alitangaza uchaguzi huo mdogo kupitia taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari. Katika taarifa…

Read More

NEC yazipangua hoja za Chadema Buyungu

Mkurugenzi wa uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) Dk Athumani Kihamia amesema msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma ataendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuwa malalamiko yaliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kumkataa hayakufuata taratibu za kisheria. Awali, Chadema walitoa taarifa ikilalamikia kasoro zilizopo katika jimbo hilo ikiwamo msimamizi…

Read More