Dodoma walizwa
Kampuni uuzaji viwanja, nyumba yafanya yake * Mamia waambulia patupu, waangua vilio * Ilitambulishwa bungeni kwa mbwembwe nyingi DODOMA NA MWANDISHI WETU Baadhi ya watumishi wa umma na watu binafsi jijini Dodoma wanalalamika kutapeliwa na kampuni ya uendelezaji ardhi, ya Umoja wa VICOBA Tanzania (VIGUTA). Miongoni mwa ‘wanaolia’ ni watumishi wa serikali, hasa waliohamia Dodoma…